Conde Afrika

Conde Afrika Karibu ujumuike nasi.

09/07/2025

Shout out to my newest followers! Excited to have you onboard! Nashon Yona Mahanga, Yassir Kidugwa, Chimpa Ntavyo

Sabasaba 49 Dar es salaam
04/07/2025

Sabasaba 49 Dar es salaam

03/07/2025

Maonyesho ya 49 ya biashara ya saba saba jijini Dar es salaam katika viwanja vya saba saba. Picha za saba saba.
03/07/2025

Maonyesho ya 49 ya biashara ya saba saba jijini Dar es salaam katika viwanja vya saba saba.
Picha za saba saba.

27/06/2025

Virgin hyperloop ni kampuni inayojishughulisha na utengenezaji wa chombo cha usafiri kiitwacho hyperloop chombo hicho kinasafiri kupitia kwenye njia zake maalum zinazoitwa tunnel mfano wa njia za magari chini ya ardhi....njia hizo zinafanana na mabomba makubwa tunayotumia kusafirishia maji..hyperloop ni chombo kinachosafiri kwa kasi zaidi chini ya ardhi ambacho kitakuja kuokoa muda katika usafiri duniani,moja ya project kubwa za hawa jamaa ni kusafirisha watu wengi zaidi kwa muda mfupi sana..wanatarajia kuzindua hyperloop ambayo itabeba watu 50,000,na kusafiri kwa muda wa 650mph.hakika ni ajabu ambayo itakuja kuishangaza dunia unaenda marekani kwa dakika 45 au lisaa limoja.

18/11/2024


Wasifu wa kocha mpya wa Yanga sc Siad Ramoch

01/11/2024

Mama anaipambania nchi yetu ifike juu juu Zaidi.....Hongera sana Mama kwa kazi nzuri kwa watanzania.

Mwenyezimungu akubariki sana.

Address

Kigoma

Telephone

0675316196

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Conde Afrika posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Conde Afrika:

Shortcuts

  • Address
  • Telephone
  • Alerts
  • Contact The Business
  • Claim ownership or report listing
  • Want your business to be the top-listed Media Company?

Share