Tuichambue Kandanda

Tuichambue Kandanda Hi ni page ya michezo na burudani

09/10/2025

Magazeti ya michezo Leo


Matokeo ya timu za taifa haya hapa.🙄
09/10/2025

Matokeo ya timu za taifa haya hapa.🙄

Meneja wa klabu ya Simba SC DIMITIR PENTEV ameanza kazi ndani ya klabu ya Simba.
08/10/2025

Meneja wa klabu ya Simba SC DIMITIR PENTEV ameanza kazi ndani ya klabu ya Simba.

Matokeo ya ligi kuu ya Zanzibar
07/10/2025

Matokeo ya ligi kuu ya Zanzibar

Rais wa Klabu ya yanga na Mwenyekiti wa Vilabu barani Afrika(ACA), Eng. HERSI SAID ameteuliwa na FIFA kuwa Mjumbe wa Kam...
07/10/2025

Rais wa Klabu ya yanga na Mwenyekiti wa Vilabu barani Afrika(ACA), Eng. HERSI SAID ameteuliwa na FIFA kuwa Mjumbe wa Kamati ya Mashindano yote ya vilabu ya Wanaume Duniani kwa kipindi cha miaka minne

Rais Herse said amekuwa mtu wa kwanza kutoka Afrika
Mashariki na kati kuingia kwenye kamati kubwa ya mpira Ulimwenguni.

Matokeo ya ligi kuu ya ujeruman
05/10/2025

Matokeo ya ligi kuu ya ujeruman

Simba SC kucheza mechi ya kirafiki na Al hilal SC ya sudan
05/10/2025

Simba SC kucheza mechi ya kirafiki na Al hilal SC ya sudan

Matokeo ya ligi kuu ya uingireza   premier league
05/10/2025

Matokeo ya ligi kuu ya uingireza premier league

Matokeo ya ligi kuu ya uhispania
05/10/2025

Matokeo ya ligi kuu ya uhispania

Michezo inayofuata ya kimataifa hii hapa.Kombe la   barani afrika
05/10/2025

Michezo inayofuata ya kimataifa hii hapa.

Kombe la barani afrika

CO na makocha katika picha ya pamoja
05/10/2025

CO na makocha katika picha ya pamoja

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tuichambue Kandanda posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tuichambue Kandanda:

Share