DAUKA SOMBA 2

DAUKA  SOMBA 2 KARIBU KATIKA UKURASA WANGU WA HUU WA FACEBOOK ILI UPATE KUFAHAMU MAMBO MBALI MBALI AMBAYO NITAKAYOKUANDALIA PALE MWENYEZI MUNGU ATAKAPOKUA ANANIWEZESHA

MAONESHO YA SABA SABA
06/07/2019

MAONESHO YA SABA SABA

HAILE RASTAFARI, JAH BLESS Y'ALL
27/06/2019

HAILE RASTAFARI, JAH BLESS Y'ALL

POCHETINO AIDENGULIA TOTTENHAM Na Dauka SombaKocha mkuu wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochetino amesema k**a mabosi zak...
23/05/2019

POCHETINO AIDENGULIA TOTTENHAM

Na Dauka Somba
Kocha mkuu wa Tottenham Hotspur, Mauricio Pochetino amesema k**a mabosi zake hawato mtengea dau nono la usajili basi atafungasha vilago vyake.

Pochetino amesema ataondoka kwenye timu hiyo k**a akikosa pesa ya kutosha ya usajili kocha huyo amefanikiwa kuifikisha Spurs kwenye fainali ya UEFA msimu huu huku akiibakisha kwenye nne bora ya ligi kuu nchini uingereza.

MO: LEO TUNAWATEMA WACHEZAJI 10 SIMUMwenyekiti wa bodi wa bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba Mohammedi Dewji amesema ti...
22/05/2019

MO: LEO TUNAWATEMA WACHEZAJI 10 SIMU

Mwenyekiti wa bodi wa bodi ya wadhamini wa klabu ya Simba Mohammedi Dewji amesema timu hiyo itawatema wachezaji 10 raia wa kigeni,wata tangaza wachezaji wa ambao watawatoa kwa mkopo kwenda timu zingine pamoja majina ya wale watakao wasajili.

KUMBE HATA ULAYA WAPIGAJI WAPOMchezaji wa zamani wa Portsmouth ya nchini uingereza Dario Silva aliyecheza soka la kulipw...
22/05/2019

KUMBE HATA ULAYA WAPIGAJI WAPO

Mchezaji wa zamani wa Portsmouth ya nchini uingereza Dario Silva aliyecheza soka la kulipwa katika vilabu mbali mbali sasa ni muhudumu wa mgahawa.

Silva amesema pesa zake alizo vuna kwenye soka la kulipwa ameibiwa na mawakala na sasa ameamua kufanya kazi kwenye mgahawa ili aweze kujikimu kimaisha

MWISHO WA BUSQUESTS NDANI YA BARCELONA WAJAWachambuzi wengi wa soka barani ulaya wamesema kiungo wa Barcelona, Sergio Bu...
21/05/2019

MWISHO WA BUSQUESTS NDANI YA BARCELONA WAJA

Wachambuzi wengi wa soka barani ulaya wamesema kiungo wa Barcelona, Sergio Busquests uwezo wake kwa sasa umeshuka.

Wachambuzi hao wamesema Busquests uwezo wake wa kutibua mipango ya timu pinzani pindi awepo uwanjani umeshuka kiasi cha kwamba hata anashindwa kutengeneza mipango ya mashambulizi kwa lengo la kuifanikisha Barca kupata ushindi.

TUJADILI KWA PAMOJA JE NI KWELI MCHEZAJI HUYO UWEZO WAKE UMESHUKA NA NI MUDA SAHIHI KWA YEYE KUKABIDHI NAFASI KWA VIJANA ILI KUZIDI KULETA MAFANIKIO K**A ALIVYO FANYA YEYE ?????

ARSENAL YAIPOTEZEA BARCELONATimu ya Arsenal ya nchini uingereza imeitupilia mbali ofa ya Barcelona ya kutaka kumnunua ms...
21/05/2019

ARSENAL YAIPOTEZEA BARCELONA

Timu ya Arsenal ya nchini uingereza imeitupilia mbali ofa ya Barcelona ya kutaka kumnunua mshambuliaji wao Piere Emerick Aubameyang.

Mabosi wa washika mitutu hao wa London wamesema Aubameyang hauzwi na msimu ujao ataendelea kuitumikia airsenal k**a kawaida.

HII NDIO RATIBA ITAKAYO WAONGOZA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWENYE MICHUANO YA AFCON KATIKA KUNDI C
13/04/2019

HII NDIO RATIBA ITAKAYO WAONGOZA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA TAIFA STARS KWENYE MICHUANO YA AFCON KATIKA KUNDI C

23/03/2019
ENZI ZA UTANGAZAJI WAKATI HUO NAUZA SURA KWENYE KIDEO
25/06/2017

ENZI ZA UTANGAZAJI WAKATI HUO NAUZA SURA KWENYE KIDEO

BONGE MOJA LA SHOW KUTOKA SUPER TV KUPITIA YOUTUBE TUPO NA ONE THE INCREDIBLE
29/10/2016

BONGE MOJA LA SHOW KUTOKA SUPER TV KUPITIA YOUTUBE TUPO NA ONE THE INCREDIBLE

NAOMBENI SAPOT YENU KWA KUPOST HII KITU KWENYE KURASA ZENU MBALIMBALI ZA MITANDAO YA KIJAMII
21/10/2016

NAOMBENI SAPOT YENU KWA KUPOST HII KITU KWENYE KURASA ZENU MBALIMBALI ZA MITANDAO YA KIJAMII

Address

Urambo Street
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DAUKA SOMBA 2 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share