27/06/2026
Nyota wa muziki wa bongo fleva nchini Tanzania KONDEBOY Kupitia Exclusive Interview tuliyofanya naye Amewaomba watu wote kuhakikisha wanaifuatilia Channel ya 96 LINK.
Msanii huyo amewapongeza uongozi mzima wa kwa kazi nzuri ya kuwahabarisha wananchi bila kusahau kuwa sapoti wasanii wote bila ya kuwa na upendeleo wa aina yeyote.
Tunatoa Asante kwa kuwa mwanafamilia wa 96LINK ili kuendelea kuunganishwa na taarifa zenye kukidhi viwango vya asilimia 96% hakikisha umetufollow kwenye mitandao yote ya jamii kuanzia Facebook, TikTok na X kote tunapatikana bila kusahau kusubscribe kwenye YouTube channel yetu kwa jina letu la 96LINK.
Katika kuendelea kufurahia mazuri yetu Tunatoa Tsh elfu 50k kwa mtu atakayemtag msanii KONDEBOY na comment hiyo isiguswe (isijibiwe) na mtu mwingine ndani ya saa 24 π€πΎππΎ