Focus Media Pro LTD

Focus  Media Pro LTD Habari za Kitaifa na Kimataifa, Michezo, Uchumi, Makala na Sanaa

Waziri Mkuu  leo Julai 17, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikho...
17/07/2022

Waziri Mkuu leo Julai 17, 2022 amekagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Daraja la mawe katika barabara ya Iguguno-Kikhonda-Kinampundu, lenye urefu wa mita 30.

Huyu ni Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassanamekaa katika Mkeka akizungumza na Sheikh Rashid...
16/07/2022

Huyu ni Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan

amekaa katika Mkeka akizungumza na Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud, wakati alimpomtembelea nyumbani kwake Utaani Wilaya ya Wete mkoa wa Kaskazini Pemba tarehe 16 Julai, 2022.

15/07/2022
The spotted or laughing hyenas, the most common and the largest group of hyenas, have 32-34 teeth that include conical p...
13/07/2022

The spotted or laughing hyenas, the most common and the largest group of hyenas, have 32-34 teeth that include conical premolars, specialized for breaking and crushing bones.

Unique from other carnivores, hyenas are distinguished by their incredible bone-crushing teeth. Hyenas display short, yet strong canines that protrude towards the front of the jaw. Gigantic carnassials are also found deep at the back of their jaws from which they can exercise the greatest amount of leverage. These carnassials are strong enough and perfect for crushing all the bones of prey, even as massive as wildebeests. Hyenas can consume too much bone material that even their droppings generate a chalky white hue.

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA BOEING 787-8 DREAMLINER JIJINI DAR ES SALAAM
26/10/2019

RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA MAPOKEZI YA NDEGE MPYA YA BOEING 787-8 DREAMLINER JIJINI DAR ES SALAAM

Kazi ya uwashaji umeme vijijini inazidi kushika kasi - Dkt Kalemani
21/02/2019

Kazi ya uwashaji umeme vijijini inazidi kushika kasi - Dkt Kalemani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Ba...
21/02/2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Kampuni ya Barrick Gold Corporation

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Focus Media Pro LTD posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share