Ommy Daily News

Ommy Daily News News, Sports and Games

06/03/2023

TAARIFA: Klabu ya Yanga inautaarifu umma kuwa imepokea maamuzi ya marejeo ya Kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji kuhusu suala la mchezaji wake Feisal Salum Abdallah.

Baada ya kupokea maamuzi hayo, Klabu ya Yanga imemwandikia barua Feisal Salum kumtaka aripoti kambini haraka iwezekanavyo na kuendelea kuutumikia mkataba wake k**a mchezaji halali wa Yanga mpaka tarehe 30, Mei 2024, k**a ilivyoamuliwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya TFF.

Aidha, Klabu ya Yanga iko tayari kumpokea Feisal Salum na kumjumuisha kwenye kikosi, na kwa kuzingatia sera na utaratibu wa Klabu ya Yanga katika kuwaongezea mikataba wachezaji wake wanaofanya vizuri, Uongozi wa Yanga uko tayari kuendelea na mazungumzo na Feisal Salum Abdallah na wawakilishi wake juu ya kuboresha mkataba wake, k**a wataridhia.

Mwisho, Klabu ya Yanga inapenda kuutaarifu umma kwamba iko tayari kumruhusu Feisal Salum Abdallah kuondoka klabuni kwa kuzingatia matakwa ya mkataba na utaratibu wa sheria za uhamisho wa wachezaji zinazotambulika na TFF pamoja na FIFA. Ikiwa pia kuna klabu yoyote inahitaji huduma ya mchezaji huyu, klabu ya Yanga iko tayari kufanya mazungumzo wakati wowote.

26/11/2022

Siku tatu zilizopita huko nchini Qatar kwenye michuano kombe la Dunia 2022 Saudi Arabia iliifunga nchi kigogo Argentina kwa jumla ya goli 2-1 na kuwashangaza watu wengi.

Usiku huu mkoani Morogoro Argentina inapoteza tena baada ya bondia wake Victor Hugo kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa Tanzania Twaha Kiduku ambaye ameshinda kwa pointi na kuondoka na mkanda wa WBF

Madam CEO
24/11/2022

Madam CEO

06/06/2021
Boss
06/06/2021

Boss

MIMI NI AHMADI AHMADI  NAISHI MAISHA MAGUMU NISAIDIE BABA WE NI MWOKOZI WANGU.
03/01/2020

MIMI NI AHMADI AHMADI NAISHI MAISHA MAGUMU NISAIDIE BABA WE NI MWOKOZI WANGU.

Pata vichwa vya habari vya magazeti ya leo jumanne ya tarehe 1 mwezi wa 10.
01/10/2019

Pata vichwa vya habari vya magazeti ya leo jumanne ya tarehe 1 mwezi wa 10.

Jonhathan Mckinstry ambaye kocha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Rwanda ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa...
30/09/2019

Jonhathan Mckinstry ambaye kocha wa zamani wa Timu ya Taifa ya Rwanda ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Uganda.

Magazeti ya leo Ya michezo na Udaku      na invite friends kwa page yetu
30/09/2019

Magazeti ya leo Ya michezo na Udaku

na invite friends kwa page yetu

24/02/2019
Yanga yakimataifaa🔥🔥🔥
16/02/2019

Yanga yakimataifaa🔥🔥🔥

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ommy Daily News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category