30/04/2026
π₯ MATCHDAY π¦
β½ Simba SC π Mafunzo FC
π Michuano: Kombe la Muungano
ποΈ Tarehe: Leo, 23 Aprili 2026
π£ Muda: Saa 2:15 Usiku (20:15 HRS)
ποΈ Uwanja: New Amaan Complex, Zanzibar
Wana Msimbazi, tupe utabiri wako mapema kabisa, leo Mnyama anashusha mvua ya mabao mangapi pale visiwani? Dondosha comment yako hapo chini ππΎ