18/05/2026
Siri ya wafanyabiashara wakubwa ni kutoweka mayai yote kwenye kapu moja. Unapopata faida kwenye biashara yako, sehemu salama zaidi ya kuilinda na kuikuza ni kwenye ARDHI ILIYOPIMWA.
Milele Properties (2017) inakuletea viwanja vyenye uhakika 100% (vimepimwa, vina bikoni na namba zake) vilivyo na huduma zote muhimu tayari kwa ujenzi:
🔹 Huduma Zilizopo: Shule, Hospitali, Maduka, Maji, Umeme, Barabara, Parking Area, na Open Space/Maeneo ya michezo.
Ukubwa na Bei:
📍 SQM 425 ➔ TSh 2.3M tu.
📍 SQM 450 hadi 500 ➔ TSh 2.5M tu.
📍 SQM 550 hadi 600 ➔ TSh 3.0M tu.
💳 MGAWANYO WA MALIPO: Unaweza kulipia kwa Cash au kwa AWAMU (Kidogo kidogo) kulingana na mzunguko wa biashara yako!
📞 Chukua hatua leo kabla havijaisha, wasiliana nasi:
Simu: 0695240002 / 0753878934
Instagram: