AfricanBase.net

AfricanBase.net Mtandao wa habari moto moto za michezo..Kuwa wa kwanza kupata habari punde tu zinapotokea kwa kulike

Like ukurasa huu ili uweze kujipatia BREAKING NEWS NA HABARI MOTOMOTO Kutoka kwenye mtandao wa mzalendohuru.com

Sauti Iliyofichwa: Maumivu ya Amani,sikiliza then  subscribe
21/01/2025

Sauti Iliyofichwa: Maumivu ya Amani,sikiliza then subscribe

Katika kijiji cha Kivule, Amani, msichana mwenye tabasamu la kuvutia, alibeba siri nzito iliyozuia furaha yake. Lakini kupitia msaada wa walimu na jirani mwe...

Neno moja kwa kijana wetu
05/01/2025

Neno moja kwa kijana wetu

MMEIYONA SHEPU YA Divathebawse ILIVYOKUWA NZURI WAMBEA MNA LAKUSEMASASA ๐Ÿ˜‚Unaambiwa mtoto dakoo dakoo kha jamani nyie mwe...
05/01/2025

MMEIYONA SHEPU YA Divathebawse ILIVYOKUWA NZURI WAMBEA MNA LAKUSEMA
SASA ๐Ÿ˜‚
Unaambiwa mtoto dakoo dakoo kha jamani nyie mwenye macho ambiwi ona๐Ÿ˜œ
ALAFU SASA MWANAUME unapata bahati NAFASI ya kuwa na mwanamke mrembo k**a UYU alafu una.zingua ๐Ÿ˜œ
khaa izi bahati akizipata admin wangu djparty mix ninavyomjua mimi sijui k**a hata zingua dah๐Ÿคช
NAJUA WATANZANIA AWAKOSAGI LA KUSEMA NGOJA NISOME COMMENT ๐Ÿ‘Œ

13/01/2024

1995 : Springboks Won World cup
1996 : Bafana Bafana Won AFCON
2023 : Springboks Won World cup
2024 : Bafana Bafana is playing in AFCON
Hmmm... Are you thinking what I'm thinking ๐Ÿ’ฌ ๐Ÿ˜ณ๐Ÿคฃ

Top 10 African countries with the most expensive fuel prices at the start of 20241. Central African Republic2. Senegal3....
13/01/2024

Top 10 African countries with the most expensive fuel prices at the start of 2024
1. Central African Republic
2. Senegal
3. Seychelles
4. Morocco
5. Zimbabwe
6. Mauritius
7. Sierra Leone
8. Burundi
9. Malawi
10. Ivory Coast
Africa's Cheapest Fuel Prices
1. Libya - $0.03
2. Algeria -$0.34
3. Angola- $0.36
4. Egypt - $0.40
5. Sudan - $0.70
6. Nigeria- $0.72
7. Tunisia -$0.82
8. Gabon- $1
9. Liberia- $1.02
10. Ghana -$1.033
Source: Global Petrol Prices.

๐Ÿ“Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
08/12/2023

๐Ÿ“Tanzania๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

AMKENI AMKENI KUMEKUCHA UKU๐Ÿ˜ณLulu aonesha ujauzito mwingine Ishakua k**a mashindano sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚LULU MCHAGA UYU JAMANI  TAGETI...
11/04/2023

AMKENI AMKENI KUMEKUCHA UKU๐Ÿ˜ณ

Lulu aonesha ujauzito mwingine
Ishakua k**a mashindano sasa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

LULU MCHAGA UYU JAMANI TAGETI YAKE HAPA NI MALI ZA URITHI ๐Ÿ˜‚ KWELI TENA ๐Ÿ‘Œ

Watu wa uzazi wa mpango njooni uku aisee ๐Ÿ˜
HATA K**A JAMANI NYIE NYIE ๐Ÿ™„

NGOJA NINYAMAZE TU MAANA NIKIONGE SANA NAONEKANA MMBEA MIE KWELI TENA

Unahisi huyu ni baba mzazi?
10/04/2023

Unahisi huyu ni baba mzazi?

Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda...MambooWanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman...
10/04/2023

Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda...

Mamboo
Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare.

Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga

LEO NGOJA NINYAMAZE TU ๐Ÿ‘ŒMuimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka nchini Kenya Nicah The Queen Amedai Yeye Na Mpenzi Wake Dj S...
10/04/2023

LEO NGOJA NINYAMAZE TU ๐Ÿ‘Œ

Muimbaji Wa Nyimbo Za Injili Kutoka nchini Kenya Nicah The Queen Amedai Yeye Na Mpenzi Wake Dj Slhaver Hawajakutana Kimwili Kwa Miaka Miwili Sasa.

"Kwa Sasa Nimefunga Kabisa Miguu Yangu, Yeye Na Mimi Tumekubaliana Kutokushiriki Kwichi Kwichi. Tumasubiri Ndoa"

TOA MAONI YAKO KWENYE COMMENT โœ๏ธ

Address

Kasulu-kigoma
Dar Es Salam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AfricanBase.net posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share