Shua Media

Shua Media >Pata huduma zetu;-Tunatengeneza Websites &Blogs, Graphics design,Events Planning,Photography&Video, Tv&Redio Production/programmes

08/03/2016
Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye, amesema Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE kipin...
27/01/2016

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye, amesema Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE kipindi cha Bunge kuanzia jana ili kubana matumizi. Na itakuwa ikirekodi baadhi ya matukio na kuonyesha usiku.
>>http://shuamedia.blogspot.com/2016/01/nape-tbc-marufuku-kurusha-baadhi-ya.html

Waziri wa Habari, Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye, amesema Televisheni ya Taifa imeacha kurusha LIVE kipindi cha Bunge kua...

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee kulitaka bunge liahirishe kikao ili wabunge wajadili ho...
27/01/2016

Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee kulitaka bunge liahirishe kikao ili wabunge wajadili hoja ya waziri Nape Nnauye.
Hoja ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye Bunge ni kwamba Television ya Taifa halitarusha matangazo ya moja kwa moja ya bunge (live) bali kutakuwa na kipindi maalumu kitakachoitwa Leo katika Bunge.
>>http://shuamedia.blogspot.com/2016/01/hivi-punde-wabunge-wachachamaa-bunge.html

Chenge amefikia uamuzi huo kutokana na kuibuka kwa mjadala mkali kutoka kwa Mbunge wa Kigoma mjini Zitto Kabwe na Mbunge wa Kawe Halima Mdee kulitaka bunge liahirishe kikao ili wabunge wajadili hoja ya waziri Nape Nnauye. Hoja ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Moses Nnauye Bunge…

Address

Dar Es Salam
POBOX10591

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shua Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share