Ikwahmediatz

Ikwahmediatz Tanzanian media page that bring to you News and Entertainment

Licha ya kuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu sasa wasanii hawa  na  Ukiachana na   waliyoimba na   na   hawana ngoma ...
12/05/2025

Licha ya kuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu sasa wasanii hawa na Ukiachana na waliyoimba na na hawana ngoma ya pamoja kwa wawili hao, Unahisi nini kinakwamisha kolabo kati yao?

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Znz ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais wa Zanzibar Charles Hillary, a...
12/05/2025

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Znz ambaye pia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais wa Zanzibar Charles Hillary, amefariki alfajiri ya leo May 11 2025 katika Hospitali ya Mloganzila, alikokuwa akipatiwa matibabu.

Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Zanzibar Mhandisi Zena Ahmed Said, amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kutoa pole kwa Familia, Ndugu, Jamaa na Marafiki wote walioguswa na msiba huu.

Charles Hillary ni miongoni mwa Watangazaji bora wa Redio na Televisheni Nchini Tanzania ambaye amefanya kazi katika vituo mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania ikiwemo Radio One na ITV, BBC London na AzamTV.

MAMBO BADO NI YAMOTO ,IBRAAH AAMUA KUMJIBU HARMONIZE BILA UWAOGA . SOMA KWENYE POST ALICHO MUANDIKIA HARMONIZE
11/05/2025

MAMBO BADO NI YAMOTO ,IBRAAH AAMUA KUMJIBU HARMONIZE BILA UWAOGA . SOMA KWENYE POST ALICHO MUANDIKIA HARMONIZE

Inter Milan wame fuzu FAINAL ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE Barcelona wapigwa chini kwa kichapo cha 4-3
06/05/2025

Inter Milan wame fuzu FAINAL ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE Barcelona wapigwa chini kwa kichapo cha 4-3

FT  Inter 3 - 3 BarcelonaFlick ana level score boardWanaenda EXTRA TIME
06/05/2025

FT Inter 3 - 3 Barcelona

Flick ana level score board

Wanaenda EXTRA TIME

90' inter 2-3 BarcelonaRaphinha  anaipeleka Barcelona mbele
06/05/2025

90' inter 2-3 Barcelona

Raphinha anaipeleka Barcelona mbele

Inter 2-2 BarcelonaD.olmo ana  level score board
06/05/2025

Inter 2-2 Barcelona

D.olmo ana level score board

54' inter 2-1 BarcelonaE.garcia  ana chomoa cha kwanza
06/05/2025

54' inter 2-1 Barcelona

E.garcia ana chomoa cha kwanza

HT inter 2-0 Barcelona22'⚽L. Martinez36'⚽Calhanoglu ( pen)UEFA champions league
06/05/2025

HT inter 2-0 Barcelona
22'⚽L. Martinez
36'⚽Calhanoglu ( pen)

UEFA champions league

Inter Milan anaongoza 1-0 zidi ya Barcelona 22'⚽ Martinez
06/05/2025

Inter Milan anaongoza 1-0 zidi ya Barcelona

22'⚽ Martinez

KARIAKOO DERBY: Bodi ya Ligi Tanzania imetoa ratiba ya mechi zilizosalia kwenye NBC Premier League pamoja na CRDB Bank F...
06/05/2025

KARIAKOO DERBY: Bodi ya Ligi Tanzania imetoa ratiba ya mechi zilizosalia kwenye NBC Premier League pamoja na CRDB Bank Federation Cup, ambapo mchezo kati ya Yanga dhidi ya Simba, sasa kupigwa Juni 15, 2025 majira ya saa 11:00 jioni katika dimba la Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Ligi hiyo inatarajiwa kumalizika Juni 22, 2025 huku fainali ya CRDB Bank Federation Cup kupigwa kati ya Juni 26-28.

(Imeandikwa na )

Msanii lbrah kutoka Lebo ya Konde Gang amewaangukia Watanzania mwenye mia, mia mbili, jero au buku ajitolee kumchangia i...
04/05/2025

Msanii lbrah kutoka Lebo ya Konde Gang amewaangukia Watanzania mwenye mia, mia mbili, jero au buku ajitolee kumchangia ili aweze kumlipa Boss wa Lebo hiyo Harmonize kiasi cha Tsh Bilioni moja ili aweze kutoka kwenye lebo hiyo na kuwa huru kwani tofauti na hapo ana hofu kipaji chake kitakufa.

“Dah! Hili mimi limenishinda narudi kwenu watanzania mzee konde anataka nimlipe B1 mimi tangu nianze muziki sijawahi hata kuingiza hata robo ya 1 billion kwa itakae mpendeza hata ukiwa na jelo buku nisaidieni wangu mimi sitaki kupishana na mzee konde ila hili swala lakulipia billion linaninyima usingizi hofu yangu pia kipaji changu kupotea na sina kazi nyingine Kwa yoyote atakae jaliwa chochote” — ameandika Ibrah kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii.

Address

PUGU KAJIUNGENI
Dar Es Salam

Telephone

+255742075368

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ikwahmediatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Ikwahmediatz:

Share