Kizuri Chako

Kizuri Chako This is all about Local business

Akili ya Mwanaume inazunguka zaidi kuliko umeme unavyozunguka kwenye Charger😂
08/06/2025

Akili ya Mwanaume inazunguka zaidi kuliko umeme unavyozunguka kwenye Charger😂

Mboga ipo tayari wekeni oda sasa
08/08/2024

Mboga ipo tayari wekeni oda sasa

31/12/2023

Jamani kuna viumbe vina maumbo makubwa. Ebu tazama Tofauti ya Bata na Bata Bukini kupitia video hii.

23/12/2023

Madhara ya mvua zinazoendelea kunyesha yamezidi kuongezeka sehemu hadi sehemu.Eneo hili maji ya mvua yamebomoa karvati na kusimamisha shughuri ya usafirishaj...

23/12/2023

Mtindo wa kulima kwa kuchanganya mazao kwa lugha nyingine ujulikan k**a Shamba mseto.Katika shamba mseto unaweza kupanda mazao zaidi ya moja, ila unatkiwa ku...

21/12/2023

ukiwa na shamba raha sana. fatilia Story kidogo na mkulima shambani eneo la cheta kwa Saimon.

06/12/2023

Kuna baadhi ya mazao aya yasipopata nafasi ya kupaliliwa bado mavuno yake huwa ya kawada. Mfano wa mazao hayo nipamoja na Mihogo, Ndizi, Parachichi nk.

30/11/2023

Kuku ni wengi ila kati yao kuku aina ya Kuchi ni wachache zaidi. Tofauti ya kuchi na kuku wa kawaida

15/08/2023

Kuna kilimo na kilimo bora tena cha kisasa, ungana nami leo na ujifunze mengi zaidi juu ya kilimo cha zamani na kilimo cha drip au matone.

06/08/2023

Moja kati ya maeneo mazuri na yenye uturivu wa hali ya juu. Na hii ndio Home Pub and Lodges.Umewai kuiona hii? itazame kupitia hapa

17/07/2023

Kilimo bila changamoto icho bado sio kilimo, ila sasa leo tujifunze jinsi ya kupunguza izo baadhi ya changamoto za kilimo. Jinsi ya kutibu ugonjwa wa ukungu....

Address

Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 07:00 - 22:00
Tuesday 07:00 - 22:00
Wednesday 07:00 - 22:00
Thursday 07:00 - 22:00
Friday 07:00 - 22:00
Saturday 07:00 - 22:00
Sunday 07:00 - 22:00

Telephone

0659919292

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kizuri Chako posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share