Mtendaji

Mtendaji Private account 󱢏

Enzi hizo nilikua nadhani Tanzania nzima hakuna mwanamke mrembo kumzidi Odama🤪
06/06/2026

Enzi hizo nilikua nadhani Tanzania nzima hakuna mwanamke mrembo kumzidi Odama🤪

AT&T STADIUM Hii pia ni moja ya Venues zitakazotumika kwenye FIFA WORLD CUP 2026.Hii structure inapatikana mjini Arlingt...
05/06/2026

AT&T STADIUM

Hii pia ni moja ya Venues zitakazotumika kwenye FIFA WORLD CUP 2026.

Hii structure inapatikana mjini Arlington, Texas nchini USA.

Uwanja una viti 80,000 na Executive suites 360, Uwanja una uwezo wa kuingiza mpaka watu 100,000 endapo watatumia mpaka standing rooms.

Ujenzi wake ulianza mwaka 2006 na kumalizika mwaka 2009 kwa makadirio ya gharama ya $1.95 billion.

Uwanja huu Ulijulikana duniani kwa kuwa na moja ya skrini kubwa zaidi za HD zilizowahi kufungwa ndani ya uwanja wa michezo wakati wa uzinduzi wake.

Mashabiki wengi huuita “Jerry World” kutokana na mmiliki maarufu wa timu ya Dallas Cowboys, Jerry Jones, Kumbuka Uwanja huu ndio makao ya timu ya NFL ya Dallas Cowboys tangu mwaka 2009.

LEVI'S STADIUM.Venue Nyingine itakayotumika kwenye 2026 FIFA WORLD CUP.Hii structure inapatikana mjini Santa Clara, Cali...
05/06/2026

LEVI'S STADIUM.

Venue Nyingine itakayotumika kwenye 2026 FIFA WORLD CUP.

Hii structure inapatikana mjini Santa Clara, California nchini USA.

Stadium ina viti 68,500 na ukiwa na. Executive suites 174.

Ujenzi wake ulianza mwaka 2012 na kumalizika mwaka 2014.

Gharama ya Ujenzi wake unakadiriwa kufikia $1.77 billion.

Uwanja huu unamilikiwa na board inayoitwa Santa Clara Stadium Authority Operator, Lakini ulipewa jina la Levi's baada ya kampuni ya Levi Strauss & Co kununua haki ya kuupa jina uwanja huo (Naming rights) mwaka 2013.

Mwaka 2023 Ed Sheeran alifanya show ndani ya Uwanja huu na akavunja record ya Attendance kufikia 80,058.

Kiatu cha Lionel Shayo Messi kwenye kombe la dunia. Unadhani kitakuwa bei gani? kwa Kariakoo
05/06/2026

Kiatu cha Lionel Shayo Messi kwenye kombe la dunia. Unadhani kitakuwa bei gani? kwa Kariakoo

watembezi hapa ni wapi?
05/06/2026

watembezi hapa ni wapi?

17/05/2026

Upi ni umri sahihi kwa kuingia kwenye ndoa kwa mwanamke na mwanaume?

17/05/2026
JUMBE BORA 🐓✔️
16/05/2026

JUMBE BORA 🐓✔️

leo
15/05/2026

leo

kwenye moja na mbili 👍✔️👍show love
14/05/2026

kwenye moja na mbili 👍✔️👍
show love

Address

Mwanza

Telephone

+255766463765

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtendaji posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mtendaji:

Share