MAGO BOI

MAGO BOI CONTENT CREATOR

Na ikitokea umegombana na rafiki yako wakalibu sana usimtenge Bali muweke kalibu maana uwenda io ikawa sababu yakupekea ...
10/10/2025

Na ikitokea umegombana na rafiki yako wakalibu sana usimtenge Bali muweke kalibu maana uwenda io ikawa sababu yakupekea uhusiano wenu mbele maana ata meno hung’ata ulimi mara nyingi lakini still bado vipo pamoja ivo tu... upo apo?

10/10/2025

πŸ’—πŸŽ€If another woman steals your man, there’s no better revenge than letting her keep him. Real men can’t be stolen.πŸ«€β€οΈβ€πŸ©ΉπŸ«‚_*😍😍❀️❀️

ukiona umefika  stage tumbo linashindana na suruali apo ndugu yangu ujue shuhuli kwishaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
10/10/2025

ukiona umefika stage tumbo linashindana na suruali apo ndugu yangu ujue shuhuli kwishaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

10/10/2025

kuna wakati mwanamke hupoteza mtu sahihi kwa tamaa zake ...Uvumilivu unahitajika sana ..

πŸ‘‚πŸ‘‚
10/10/2025

πŸ‘‚πŸ‘‚

THANKS GUYSπŸ™πŸ™
09/10/2025

THANKS GUYSπŸ™πŸ™

??
09/10/2025

??

Usiache kumkumbusha mtu unaempenda kila sIku kuwa unampenda mana binadamu tumeumbwa na usahalifu ata K**a ni mm ndo mtu ...
09/10/2025

Usiache kumkumbusha mtu unaempenda kila sIku kuwa unampenda mana binadamu tumeumbwa na usahalifu ata K**a ni mm ndo mtu unaemependa usiache kunikumbusha....

Time...
09/10/2025

Time...

Mwisho wa siku uwe na pesa atakuchit usipokuwa nazo pia anakuchit yani daaah.... Ila pesa muhimu wakuu...
09/10/2025

Mwisho wa siku uwe na pesa atakuchit usipokuwa nazo pia anakuchit yani daaah.... Ila pesa muhimu wakuu...

Lion can not give birth to a goat what money can not do more money can do it delay is not denial .....put it on mind..
09/10/2025

Lion can not give birth to a goat what money can not do more money can do it delay is not denial .....put it on mind..

08/10/2025

Mungu wangu, nimekufelisha mara nyingi sana hadi siwezi kuzihesabu.
Lakini asante kwa kunipa siku nyingine ya kuishi.
Tafadhali, nipe ujasiri wa kushiriki sala hii na angalau mtu mmoja.

Kwa jina kuu la Yesu, Amina.
Tumsikitishe adui leo kwa kusema:
Mungu ni mkuu

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MAGO BOI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MAGO BOI:

Share