Mnyama double

Mnyama double Muzik ni Maisha Fata ndoto zako na Amini mafanikio yapo

Rest in Peace brother D7 inawezekana kizazi Cha Sasa kisijue umuhimu wako Lakini sisi tuliobahatika kupata nafasi yakutu...
24/09/2023

Rest in Peace brother D7 inawezekana kizazi Cha Sasa kisijue umuhimu wako Lakini sisi tuliobahatika kupata nafasi yakutusapoti kipindi ambacho Ilikuwa ngumu kusapotiwa na wengine na uku ukiwa kwenye kituo kikubwa Cha redio na uliweza kutupanafasi kadri ya uwezo wako wewe ni mtu mwema Sana kwangu wakati wote na nilishawai kukwambia mala nyingi sana kadri nilivyoweza "Wewe umekuwa ukinisapoti nikiwa Sina nguvu mpaka Leo nimepata nguvu nashukuru Sana brother"ninamengi yakuongea Sana ila kazi ya Mungu Haina makosa pia unatufundisha jambo kwenye maisha yetu Haya majina nanafasi tulizonazo sio kitu ila kikubwa ni Utu Tusaidie watu kadri tuwezavyo hiyo ndio Hazina yetu maana wakati wowote tunaweza kuondoka na tuliokuwa tukiwasaidia wanaweza kutuombea kipindi hatuwezi kujiombea πŸ™πŸ™πŸ™πŸ₯ΊπŸ₯ΊMungu akulaze mahali pema brother Shukrani kwa wakati wako kwangu na kwa wengine pia

Kwanini uwangaike kutafuta Saloon ya K**e ukiwa DodomaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ inayoweza kukupa Huduma Bora ya Kusuka,Steaming,Weaving,Make...
28/06/2023

Kwanini uwangaike kutafuta Saloon ya K**e ukiwa DodomaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ inayoweza kukupa Huduma Bora ya Kusuka,Steaming,Weaving,Make up,Retouch, Breaching,Washing set na Vingine vingi Karibu Trina Dressing Saloon kwa huduma zote hizo unaweza mpigia simu namba 0687437464 au Instagram Saloon inapatikana Mitaa ya kwa mzee wa swaswa Dodoma karibuni sanaπŸ₯°

Leo ndio Leo  na  Watakuwa Live  ndani ya Kipindi Cha BIG FUSE  CFM 103.3 Dodoma kuanzia saa 8:30 mchana Mpaka saa 11 ji...
14/06/2023

Leo ndio Leo na Watakuwa Live ndani ya Kipindi Cha BIG FUSE CFM 103.3 Dodoma kuanzia saa 8:30 mchana Mpaka saa 11 jioni na Watangazaji pia unaweza kutusikiliza live kupitia www.cfm.co.tz
Kinawaka LeoooπŸ”₯πŸ”₯πŸ“»

Mnyama Double  (DodomaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ)Haikuwa Rahisi kufika nilipo Leo ilikuwa safari ndefu yenye changamoto kibao vikwazo dharau mat...
08/06/2023

Mnyama Double
(DodomaπŸ‡ΉπŸ‡Ώ)
Haikuwa Rahisi kufika nilipo Leo ilikuwa safari ndefu yenye changamoto kibao vikwazo dharau mateso na vitu vingi mpaka nilipo Leo Bonyeza Link hapo chini πŸ‘‡ itakupeleka moja kwa moja kwenda kujifunza njia tulizopitia mpaka kufika tulipo Leo πŸ‘‡
https://micshariki.africa/double-y-a-k-a-mnyama-double-mwimbaji-mchanaji-mtayarishaji/ (πŸ‡°πŸ‡ͺ Shukrani kwa MicsharikiAfrica πŸ™πŸ™Œ) au nenda kwenye page ya

Oiiii Album Uso na Ubongo  ishatoka πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ  na .b__mzee_wa_kimba wasanii hawa wa Hiphop  wamekuletea album moja wakiwemo wo...
06/05/2023

Oiiii Album Uso na Ubongo ishatoka πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŒ na .b__mzee_wa_kimba wasanii hawa wa Hiphop wamekuletea album moja wakiwemo wote wawili inaitwa USO NA UBONGO iliyobeba nyimbo 26 pia ikishirikisha manguli wa muziki wa Hip-hop Tanzania Maproducer ni hii nikati ya album Bora album inapatikana kwa Watsup,Email pamoja na telegram elf 10,000 tu ukitumiwa kwenye njia hizo ila ukiitaji kwa flash 20,000 tu au wasilina nasi kwa simu namba Name:Face B β€Žβ€Ž(0672634342β€Žβ€Ž)
Name:Abby the Brain (0688812109)
Shukrani kwa wote waliosapoti album hii na watakao sapoti album hii pamoja na watakao nunua Album hiiπŸ™πŸ™

Kikubwa Pumzi tu πŸ™πŸ‘‘πŸ’ͺπŸ½πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
15/02/2023

Kikubwa Pumzi tu πŸ™πŸ‘‘πŸ’ͺπŸ½πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mnyama double posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category