Elybosco98

Elybosco98 like & follow and share elybosco98
(1)

🎙️ Journalist | Sports & Media Enthusiast
📍 Sharing breaking news, football insights
📸 Covering champions, chasing truth, and celebrating moments that matter
💙 Welcome to the official page of Elybosco98 – where passion meets journalism.
🔵

Mohamed Bajaber ni mali ya Simba SC Tanzania
02/08/2025

Mohamed Bajaber ni mali ya Simba SC Tanzania

Lassine Kouma ni Mwananchiđź”°
25/07/2025

Lassine Kouma ni Mwananchiđź”°

Nyota wapya waliosajiliwa na Liverpool FC
23/07/2025

Nyota wapya waliosajiliwa na Liverpool FC

Klabu ya Yanga SC imemtambulisha mkufunzi Roman Folz (35) mzaliwa wa Bodaux, Ufaransa k**a kocha mkuu mpya klabuni hapo ...
23/07/2025

Klabu ya Yanga SC imemtambulisha mkufunzi Roman Folz (35) mzaliwa wa Bodaux, Ufaransa k**a kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua mikoba ya Miloud Hamdi aliyetimkia Ismaily ya Misri.

    Tanzania inaanza na pointi tatu muhimu….Tanzania 1-0 Uganda
22/07/2025


Tanzania inaanza na pointi tatu muhimu….
Tanzania 1-0 Uganda

22/07/2025

I got over 2,000 reactions on my posts last week! Thanks everyone for your support! 🎉

Manchester United  imekamilisha usajili wa Bryan mbeumo kutoka Brentford FC
21/07/2025

Manchester United imekamilisha usajili wa Bryan mbeumo kutoka Brentford FC

Namba 20 ipi niya moto sana kwako?
21/07/2025

Namba 20 ipi niya moto sana kwako?

Asante Debora Fernandes Mavambo.
19/07/2025

Asante Debora Fernandes Mavambo.

Debora Fernandes Mavambo (24)  ameaga rasmi ndani ya Simba Sc ikiwa ni takribani mwaka mmoja tu tangu atue klabuni hapo ...
19/07/2025

Debora Fernandes Mavambo (24) ameaga rasmi ndani ya Simba Sc ikiwa ni takribani mwaka mmoja tu tangu atue klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia.

"Asante sana familia ya Simba Sc kwa sapoti yao katika kipindi chote nilichokuwa ndani ya klabu hi, hakika nitaikumbuka klabu hii, mashabiki na viongozi wote wa Simba Sport Club."—Deborah Fernandez Mavambo

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!
19/07/2025

🎉 Just completed level 3 and am so excited to continue growing as a creator on Facebook!

Simba SC wapo mbioni kutafuta mbadala wa Che Malone, ambaye hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC Tanzania  msimu 2025/...
19/07/2025

Simba SC wapo mbioni kutafuta mbadala wa Che Malone, ambaye hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC Tanzania msimu 2025/26

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Elybosco98 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share