Mtu Poa

Mtu Poa Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtu Poa, Digital creator, Dodoma.
(5)

✅Ukrasa rasmi wa Mtu Poa .
• Tunafanya ufukunyuzi wa masuala ya soka
> Simba SC Tanzania na Young Africans Sports Club
> Uchambuzi na data za soka
> Usajili wa wachezaji na tetesi za usajili
▶️YouTube: Mtu Poa Sports HD
📞contract: +255745922142

13/11/2025

🏟❌⚽ Eti, kwa hili tukiona jkt queens walistahili penati au walionewa tu?

👉Caf CAFWCL
Full time jkt queens 1- 1 Asec mimosas

🚩 CUCURELLA: “Nadhani Lamine Yamal aliondoka kambini baada ya kumwambia jinsi nitakavyomkabili mazoezini.”👉 Kwa ufupi: C...
12/11/2025

🚩 CUCURELLA: “Nadhani Lamine Yamal aliondoka kambini baada ya kumwambia jinsi nitakavyomkabili mazoezini.”

👉 Kwa ufupi: Cucurella ametaniana akisema kuwa huenda Lamine Yamal aliacha mazoezi baada ya yeye (Cucurella) kumueleza jinsi atakavyomkaba kwenye mechi ijayo kati ya Chelsea na Barcelona.

12/11/2025

🫵😀Kwahiyo timu yenu mnataka iwe inasifiwa tu, kukosolewa... Aaaah!!! Hamtaki iguswe!! 😀🙌

🚩klabu ya yanga afrika Inatarajia kufanya mkutano hapo kesho na Waandishi wa habari! 👉Je, kwa Mambo yanayoendelea sasa i...
12/11/2025

🚩klabu ya yanga afrika Inatarajia kufanya mkutano hapo kesho na Waandishi wa habari!

👉Je, kwa Mambo yanayoendelea sasa iv mtandaoni unadhani ni kipi yanga kesho watakuwa wanahitaji kuzungumza?

🚩FULL TIME:CAF women champions LeagueJKT QUEENS 1 - 1 ASEC MIMOSAS
12/11/2025

🚩FULL TIME:CAF women champions League
JKT QUEENS 1 - 1 ASEC MIMOSAS

🚨  Raphinha yuko kwenye hatua za mwisho za kupona, kurejea uwanjaniWinga huyo wa Brazil ana imani atarejea uwanjani mara...
12/11/2025

🚨 Raphinha yuko kwenye hatua za mwisho za kupona, kurejea uwanjani

Winga huyo wa Brazil ana imani atarejea uwanjani mara baada ya mapumziko ya kimataifa, baada ya kuonyesha maendeleo mazuri katika programu yake ya tiba.

Fc Barcelona wana matumaini kuwa Raphinha atakuwa tayari kwa mchezo ujao dhidi ya Athletic,

Source: Mundo Deportivo.

12/11/2025

🏟CAFWCL
⌚Dkk 61
JKT Queens 1-0 Asec Mimosa

12/11/2025

🏟CAFWCL
⚽Esther
⌚Dkk 20
Jkt Queens 1-0 Asec mimosas

12/11/2025

🏟😳🙌 || Eti, Hii ni Faulo au Mchezaji Alijiongeza?
> Tazama mwanzo hadi mwisho kisha tuambie maoni yako!!

🚩FULL TIME:Caf women champions LeagueTp Mazembe 3-0 Gaborone ladies
12/11/2025

🚩FULL TIME:Caf women champions League
Tp Mazembe 3-0 Gaborone ladies

12/11/2025

🏟 Caf women champion league
⌚Dkk 76
TP Mazembe 2-0 Gaborone Ladies

🚩Ahmed Ally, msemaji wa Simba SC, kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika ujumbe huu:> “Hongera sana  kwa ujasiri wak...
12/11/2025

🚩Ahmed Ally, msemaji wa Simba SC, kupitia ukurasa wake wa Facebook ameandika ujumbe huu:

> “Hongera sana kwa ujasiri wako.
Umefanya kazi yako ipasavyo k**a mwandishi wa habari, usiogope maneno au vitisho vya mtu yeyote.
Hawana uwezo wa kukudhibiti zaidi ya maneno ya mitandaoni — endelea kufanya kazi yako kwa uadilifu na bila woga.

Ikiwa kuna mchezaji mwingine ambaye bado anadai malipo, hakikisha taarifa hizo zinatolewa mapema. Nchi haiwezi kukaa kimya kwenye mambo k**a haya.”

👉Ujumbe huu unatokana na mjadala ulioibuka kuhusu madai ya malipo ya mchezaji Azizi Andambwile dhidi ya Yanga Afrika.

Address

Dodoma
41000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtu Poa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mtu Poa:

Share