29/11/2020
BY
๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ 12 ๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐
โ๏ธMbali na dawa za dukani pia waweza tumia tiba asili kwa kutumia mimea inayotuzunguka kukinga na kutibu kuku wako.
๐ฆโ๐ณโ๐ฌโ๐ฆโ๐ฑโ๐ฎโ๐ฟโ๐ดโ
โ๏ธTiba asili za kuku ni vizuri ikatumiwa na kuku wa asili zaidi kuliko kuku wa kisasa hasa pale zinapotumiwa k**a Tiba. Hihi ni kwa sababu kuku wa kisasa au chotara kinga zao ni ndogo kulingana na kuku wa asili.
๐Waweza fuatilia somo hili kwa undani kupitia video hii๐๐๐๐๐๐ ina dakika 15 utajifunza kila mmea hatua kwa hatua ya maandalizi ya dawa na ugonjwa unaotibu ni u tube tafuta AGALUS TV
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
https://youtu.be/3BpbwyWgSb0
๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐๐๐๐ ๐๐
๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
1. Majani ya majembe
2. Shubiri mwitu(Aloevera)
3.Mtakalang'onyo(Euphorbia)
4. Mbarika( Nyonyo)
5.Majani ya mpapai
6.Kisamvu
7. Itula
8.Msongwa
9.Minyaa(Cactus)
10.Pilipili kichaa
11.Mwakibingha
12.Tangawizi na Vitunguu saumu
https://youtu.be/3BpbwyWgSb0
1. ๐๐๐ฃ๐๐ง๐ข ๐ฒ๐ ๐๐ฐ๐๐ฆ๐๐
๐Ponda na chemsha kwa muda mrefu. Wape kuku kwa siku 1 tu.
TIBA/KINGA
โ๏ธMwembe husaidia kutibu Typhoid, Mafua na ni kinga ya kideri/Mdondo
2.๐๐ฅ๐จ๐๐ฏ๐๐ซ๐
โ๏ธ Katakata majani 3 hadi 5 loweka ndani ya maji lita 6 kwa masaa 12. Wape kuku wanywe kwa siku 1 . Isiyotumika mwanga tengeneza tena kwa siku 5 hadi 7
๐Ni tiba ya kideri, Hutibu typhoid, Mafua na kipindupindu cha kuku
๐๐๐๐๐Video hii ina undani wa somo hili
https://youtu.be/3BpbwyWgSb0
3.๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ๐น๐ฎ๐ป๐ด"onyo
๐Maandalizi yake yanafanana na Alovera๐๐๐๐๐
โ๏ธKinga ya kideri, Gumboro, Ndui na Hitibu kuhara damu kwa kuku(Coccidiosisi)
4. ๐ ๐ฏ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ธ๐ฎ
โ๏ธDawa hii Hutibu uvimbe
Maandalizi yake ona video hii๐๐๐๐
https://youtu.be/3BpbwyWgSb0
5.๐๐๐๐๐
๐Nimatunda yanayo fanana na tula tula ingawa aya ni makubwa
๐๐๐๐๐Angalia video hii apa kuyaona.
https://youtu.be/3BpbwyWgSb0
๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค๐ค
Tuishie apa kwa leo. Fuatilia
https://youtu.be/3BpbwyWgSb0