CGen Pro

CGen Pro Music & Video Production Studio

SHUHUDA ZA KWELI
07/02/2024

SHUHUDA ZA KWELI

Watch, follow, and discover more trending content.

Mkono Hodari
01/09/2023

Mkono Hodari

Watch, follow, and discover more trending content.

Ukishindwa kukimbia tembea, ukishindwa kutembea tambaa, ukishindwa kutambaa jivute, ilimradi unaenda, usilalelale, pesa ...
22/08/2023

Ukishindwa kukimbia tembea, ukishindwa kutembea tambaa, ukishindwa kutambaa jivute, ilimradi unaenda, usilalelale, pesa haitafutwi mbinguni, chumia juani ili ulie kivulini Fortune Shimanyi

Easter Gift
11/04/2023

Easter Gift

Karibu Utazame wimbo ambao unatukaribisha kusherehekea Ufufuko wa Kristo, Hakika Kristo Ameshinda Mauti, Aleluya Aleluya AleluyaMtunzi: Shimanyi FMSound Engi...

Hatimaye wimbo uko hewani sasahttps://youtu.be/Cui9xaeEVvk
20/01/2023

Hatimaye wimbo uko hewani sasahttps://youtu.be/Cui9xaeEVvk

Karibu Utazame wimbo maalumu wa Ndoa, Ulioimbwa na Wanakwaya wa Mt.Gregory Mkuu Kutoka St.John's University of Tanzania-DodomaMtunzi: Shimanyi FMSound Engine...

Ni zaidi ya vipaji, gusa picha uone maajabu haya. This is more than talent as by Fortune Shimanyi , click the photo belo...
03/01/2023

Ni zaidi ya vipaji, gusa picha uone maajabu haya. This is more than talent as by Fortune Shimanyi , click the photo below to see the magic

Christmas sasa tuimalize kwa kubonyeza picha au link hapa chini 👇
25/12/2022

Christmas sasa tuimalize kwa kubonyeza picha au link hapa chini 👇

Karibu kutazama wimbo wa Christmass uliimbwa na Gaspar Del Bufalo - Parokia ya Makole, Jimbo katoliki Ła Dodoma. Mtunzi: Peter MkumboOrganist: Fausto KaziSou...

-BONYEZA PICHA HAPA CHINI👇 KUTAZAMA VIDEO NZIMA-
02/12/2022

-BONYEZA PICHA HAPA CHINI👇 KUTAZAMA VIDEO NZIMA-

Karibu Utazame wimbo mzuri,wenye tafakari ya Maisha ya kumtegemea Mungu,Wakati wa Mungu Ukifika hakuna wakuzuia Barake Za Mungu.WimboUmeimbwa na Kwaya ya Mt....

25/11/2022

Thank you Mr.Evans Kibet from Eldoret Kenya

Kwaya Ya Mt. Karoli Lwanga- Muganza wakishirikiana na cGen Pro, wanakukaribisha sana kutazama wimbo huu.https://youtu.be...
20/11/2022

Kwaya Ya Mt. Karoli Lwanga- Muganza wakishirikiana na cGen Pro, wanakukaribisha sana kutazama wimbo huu.
https://youtu.be/aiR_CVqk7JA usisahau kulike, kusubscribe na kushare

Karibu Kutazama Wimbo Huu, wa kutukumbusha kuwaitiske Sifa na utukufu ni kwa Mungu wetu Aliyetuumba.Audio & Video: CGen ProSound Engineer & Director: F.M. S...

21/10/2022

Tutaishi Milele

Address

Nkuhungu
Dodoma
DODOMA

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when CGen Pro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share