
13/06/2025
Room No 3
Ni EP mpya kabisa ya Mbosso Ndani ya lebo yake mpya KHAN MUSIC vp umeshaipata Ep na umesikiliza ? Je ni Mbosso yule yule au kabadilika baada ya kutoka WCB wasafi Toa maoni yako sehemu ya komenti...🎼🎼🎼