Rajab K. Mchatta

Rajab K. Mchatta Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Rajab K. Mchatta, Media/News Company, Dodoma.

Nikimsikiliza Boss wangu Hayati Jenister Muhagama, katika moja ya majukumu yangu. R.I.P Jenister Muhagama. Nitakukumbuka...
11/12/2025

Nikimsikiliza Boss wangu Hayati Jenister Muhagama, katika moja ya majukumu yangu. R.I.P Jenister Muhagama. Nitakukumbuka milele

Happy birthday to you Madam Verena. Cake ijumaa nikitoka Dodoma. Location ...... Usije ukaenda Serena Tafadhali sana
09/11/2025

Happy birthday to you Madam Verena. Cake ijumaa nikitoka Dodoma. Location ...... Usije ukaenda Serena Tafadhali sana

Happy Birthday to Me! Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa siku yangu muhimu ya leo.Nimeamka salama na nimeianza siku hii kwa k...
13/08/2025

Happy Birthday to Me!

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa siku yangu muhimu ya leo.

Nimeamka salama na nimeianza siku hii kwa kuja kuwasalimu wazazi wangu waliotangulia mbele ya haki.

Utalii wa Kukimbia/Mbio: NBC DODOMA MARATHON 2025
27/07/2025

Utalii wa Kukimbia/Mbio: NBC DODOMA MARATHON 2025

ASANTENI watu wa Bagamoyo, Tuendelee kuutangaza Utalii tulionao ni Tunu ya Taifa.Tukutane Arusha soon.......
21/06/2025

ASANTENI watu wa Bagamoyo, Tuendelee kuutangaza Utalii tulionao ni Tunu ya Taifa.
Tukutane Arusha soon.......

ASANTENI watu wa Bagamoyo, Tuendelee kuutangaza Utalii tulionao ni Tunu ya Taifa.Tukutane Arusha soon.......
21/06/2025

ASANTENI watu wa Bagamoyo, Tuendelee kuutangaza Utalii tulionao ni Tunu ya Taifa.
Tukutane Arusha soon.......

Hongera sana Boss, kwa Ushindi wa Kishindo. Hongera sana Dr Mapana .tanzania .tanzania .tanzania
20/06/2025

Hongera sana Boss, kwa Ushindi wa Kishindo. Hongera sana Dr Mapana .tanzania .tanzania .tanzania

Baada ya kazi ngumu hapa Bagamoyo, k**a ilivyo ada ikipatikana fursa huwa naitumia kwa kufanya Utalii wa Ndani.Hapa niki...
19/06/2025

Baada ya kazi ngumu hapa Bagamoyo, k**a ilivyo ada ikipatikana fursa huwa naitumia kwa kufanya Utalii wa Ndani.

Hapa nikiendelea kuelimishwa yote kuhusu KAOLE....
tuendelee kuunga mkono juhudi za kuutangaza Utalii tulionao. Binafsi nikiwa k**a Mwenyekiti wa Jukwaa la wapigapicha Tanzania(TANZANIA PHOTOGRAPHERS AND VIDEOGRAPHERS FORUM-TPVF) Sitakuwa nyuma kuziendeleza Bidii za Rais wetu Daktari Samia Suluhu Hassan, hakika kwa kutumia Jukwaa hili ndio fursa kwa Nchi kutangaza utaliiephraim



Mwenyekiti wa Jukwaa la wapigapicha Tanzania, Ndugu Rajab K. Mchatta akiwa na Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho T...
31/05/2025

Mwenyekiti wa Jukwaa la wapigapicha Tanzania, Ndugu Rajab K. Mchatta akiwa na Rais wa Shirikisho la Sanaa za Maonyesho Tanzania (SHISHAMA) Dkt. Cynthia M. Henjewele.
Katika Hifadhi ya Msitu wa Vikindu, Mkuranga, Pwani.
Tumeshiriki Utalii wa Ndani kwa kutembelea vivutio vya Ekolojia katika Msitu wa Vikindu.
Utalii huo ulikuwa ni moja ya shughuli katika Tamasha la Amani, lenye kaulimbiu ya AMANI, UTALII, UTAMADUNI NA MICHEZO lililofanyika katika Msitu huo.
Utalii huu ni kuunga mkono jitihada za Filamu ya Royal Tour.ephraim

@imanikajula


Kuelekea Kongamano la wapigapicha Tanzania
25/05/2025

Kuelekea Kongamano la wapigapicha Tanzania

24/05/2025

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rajab K. Mchatta posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share