Arupa African Rural Press in Action

Arupa African Rural Press in Action Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Arupa African Rural Press in Action, Media/News Company, Dodoma.

09/02/2024
Legendary Musician Ongala RIP
09/07/2023

Legendary Musician Ongala RIP

𝗦𝗖π—₯π—˜π—˜π—‘ 𝗣π—₯π—’π—§π—˜π—–π—§π—’π—₯

Golikipa Bora Djigui Diarra πŸ€©πŸ†πŸ…Young Africans SC iko kwenye mikono salamaπŸ™ŒπŸ½

Ungependa kuona nini kutoka msimu ujao?



🟒🟑

07/03/2023

Believe in your dreams, dream big, start small, right now

04/08/2018

Agenda za maendeleo ya Tanzania ni zipi na zinaegemea kwenye itikadi ipi? Vingunge mnisaidie maana naona vijiji vya ujamaa vimesahaulika? Lini tutakuwa na wizara ya maendeleo ya vijijini? Tazama standi ya magari ya abiria na mizigo yanayoelekea vijijini, aina ya magari (kwa uchakavu), watumishi wake k**a utingo/makuli na madereva ukiacha abiria wenyewe...je barabara zinapitika kufikisha mazao sokoni? Je, mawana na mabibi shamba wanatimiza wajibu wao (wanamashamba darasa ya mfano au kilimo ni kilekile cha jembe la mkono, halafu tufikie chumo la kati 2025?

Inua mapembe yako, Nyati Mweusi (African Black Buffalo)
30/06/2018

Inua mapembe yako, Nyati Mweusi (African Black Buffalo)

Kikundi cha Ngoma za Asili kutoka Kijiji cha Nzali Wilaya ya Chamwino.
29/06/2018

Kikundi cha Ngoma za Asili kutoka Kijiji cha Nzali Wilaya ya Chamwino.

04/05/2018

Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani:
Mengi yanapita, yamezungumzwa na kimsingi yanagusa tasnia ya vyombo vya habari katika kipindi cha muongo mmoja unaoelekea mwisho. Ndani yake kuna mazuri mengi yasiyopewa fursa na mabaya mengi yanayopigiwa kelele. Yapo yanayopewa fursa kubwa kwenye kurasa za mwanzo za magazeti ya Tanzania na yale ya nje. Tukiacha yote haya hili limezidi au kutiwa chumvi au kupuuzwa, au kutelekezwa! Eti wanahabari wanafanya kazi kwa uoga, wanatishwa, wanak**atwa, wanayanyaswa, wanauawa, wanatekwa na kupotea katika mazingira ya kutatanisha katika Tanzania hii hii ya leo! Kwanini kuituhumu Serikali? Kwa nini kuwatuhumu watu wasioonekana? Je siyo kazi ya wanahabari kufanya uchunguzi? Kwanini wanaibebesha Serikali jukumu la kuwak**ata wahalifu ambao hawajulikani? Hayo na maswali mengine mengi yaliuteka ukumbi wa mikutano wa Morena Hoteli Jijini Dodoma katika siku mbili za Mei 2 na 3 zilizowakutanisha wanahabari na wadau wa sekta hiyo nchi nzima katika maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani. Walioshiriki ni pamoja na taasisi za wahisani ikiwemo Friedrick Ebert Stiftung (FES), Shirika la Elimu na Sayansi la Umoja wa Matifa (UNESCO), Irish Aid, UN Tanzania, Jumuiya ya Ulaya (EU) na Serikali ya Tanzania. Mashirika mengine yaliyoshiriki ni MISA-Tanzania, MCT, TMF, TAMWA, MOAT, UNIC Dar Es Salaam, TEF, ARUPA, UTPC, Jamii Forum na Dodoma Media College. Walikuwepo pia wazee maarufu maarufu k**a Veterans wa fani ya Uandishi wa Habari. Shughuli hii ilifunguliwa rasmi na Spika wa Bunge la Tanzania -Mh Job Ndugai na kufungwa ramsi na Dr Harrison Mwakyembe, Waziri wa Habari, Utamaduni, Michazo na Sanaa. Kati ya mengi yaliyopewa kipaumbele ni haki za binadamu, haki za watoto na wanawake, maslahi ya wanahabari (mishahara mizuri inayotolewa kwa wakati, bima ya afya, bima ya ajali, pensheni na mazingira bora ya kufanya kazi na kuhakikishiwa vitendea kazi). ARUPA iliibuka na jambo moja kubwa kuwa kila mwandishi awe mlinzi wake mwenyewe. Hakuna habari kubwa kuliko maisha ya mwandishi. Mwandishi azingatie maadili na taaluma yake ili kuepukana na hatari zisizo za lazima. Kauli mbiu:Kudhibiti Utawala: habari, Haki na Kuzingatia Utawala bora wa Kisheria. Kwa habari zaidi soma Twitter Tag: WorldPressFreedomDAY Soma pia: https://www.youtube.comwatch?v=-MP6fBO0&feature=youtu.be Angalia pia: https://www.youtube.com/watch?v=fDrp-UJ2bfo

Rural Media Oriented Organization providing information and humanitarian services. We promote local dancing groups out o...
06/07/2017

Rural Media Oriented Organization providing information and humanitarian services. We promote local dancing groups out of many interventions guided by ARUPA's vision, mission and objectives.

Media/news company

Habari katika Picha The Image and Voince of ARUPA
06/07/2017

Habari katika Picha The Image and Voince of ARUPA

Address

Dodoma
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Arupa African Rural Press in Action posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share