Eroo.tz

Eroo.tz Entertainment &learning
😁Enjoy your World 🌎

HILI NALO NENO!" Mwanangu, kelele za AMBULANCE ni kero sana k**a mgonjwa hakuhusu".
03/10/2024

HILI NALO NENO!

" Mwanangu, kelele za AMBULANCE ni kero sana k**a mgonjwa hakuhusu".

23/08/2024

UJINGA WA KIWANGO CHA JUU NI " KUTOJITAMBUA KUWA WEWE NI MJINGA"

Nukuu ya fikra zangu
" kuna wakati mwingine hatupati mafanikio kwa sababu aidha ni mpango wa MUNGU tusipate kwa sasa au hatupati kwa sababu ya UJINGA WETU "
Kabla hujatupa lawama kwa binadamu kuwa wamekukwamisha usipate mafanikio ni vyema pia upime matendo na maneno yako kuwa yamekukwamisha kiasi gani?

Mafanikio yako wakati mwingine yapo mikononi mwako. Maana Mungu ndiye mpaji lkn mwenye jukumu la kumuomba ni la nani??

Je, umewahi kutana na mtu wa hivi??

1. Yeye mwenyewe ndiye adui wa kwanza wa maisha yake kutokana na maamuzi yatokanayo na fikra zake mwenyewe.
Ukimuuliza kwa nini hujafanikiwa katika jambo lako muhimu anawataja watu wengine k**a wamemkwamisha lkn katu haangalii je , yeye amechangia kwa kiasi gani kukwamisha mambo yake. Mara nyingi huona madhaifu ya watu wengine lkn kuona madhaifu yake na kukubali kuwa mkosaji aaaah haoni na hata ukimuambia hapa umekosea huwa hawakubaligi.

2. Mara nyingi huwa walimu wa maisha na wana maneno meengi wakizani ndio busara hata k**a hajawahi kuyaishi hayo asemayo. Kuna wakati mwingine unapaswa kuzungumza kwa matokeo ya maisha yako. ACHA MATOKEO YA MAISHA YAKO yatoe somo kwa watu wala huna haja ya kutaja mafanikio yako maana binadamu wanaona.

3. JE, MAISHA YAKO YANA UZIKA?
Swali hili ni muhimu mno kujiuliza ikiwa je , nikiweka maisha yangu sokoni je yatauzika???
Yawezekana ukajigamba una maisha mazuri lkn hayauziki ikiwa na maana ni ngumu kupata soko.
KWA NINI??

Kila jambo lina msingi wake hivyo hata mafanikio nayo yana msingi wake.
Si kila unachokiona wewe kuwa ni maendeleo ukazani na watu wengine wataona hivyo.

Ndugu msomaji naomba niwie radhi lkn naomba kutaja msingi wa mafanikio

Yamkini kwa ujinga wangu ( nakubali kuwa mjinga) msingi wa mafanikio ya mtoto wa kiume unajengwa juu ya mzani wa nguzo 3:-

1. Nguzo 1 :- FAMILIA
Uwe na mke wako
Nguzo hii ni muhimu sana kwa sababu kupitia mke ndipo unapata matunda ya watoto kwa mapenzi ya Mungu. Sio siri kuwa hakuna tunda tamu na lenye ladha nzuri k**a tunda hili. Sisemi kwamba mtoto ni lazima bali ni majaliwa na zawadi ya mwenye enzi yake Mungu hivyo maombi yangu ni MUNGU MPE MTOTO KILA MWENYE KUHITAJI. " ameen"
Lakini pili jamii itajiuliza huyu mwanaume anatimiza vipi haja ya mwili wake??
K**a huna mke ina maana unaishi kwa kudandia dandia wake za watu, mabinti za watu leo huyu kesho yule ilimradi kutimiza haja ya mwili wako.
Sasa hii haikujengei heshima hata kidogo na jamii haitakuambia bali ukweli huwezi kuwa mfano wa kuigwa.

Ukiwa na mke hata heshima ndani ya jamii yako inaongexeka

Nguzo 2:- UWE NA KWAKO / NYUMBA YAKO
Sasa hapa una mke na yamkini Mungu amekupa watoto basi inapendeza wawe kwenye nyumba yao ili wapate uhuru na pili wawe na pa kuridhi k**a ardhi ya baba yao. Nyumba yako ina siri yako.

Nguzo 3: KITEGA UCHUMI/ SHAMBA
Hii ni kuendeshea boma ama familia.
Kitega uchumi inaweza kuwa shamaba, biashara au kazi za kuajiriwa.

Kwa hiyo mafanikio yanajengwa juu ya misingi hii 3 ambayo ni mzani wa mtoto wa kiume.

Unapozungumza mbele ya watu zingatia sana mizani hii.

Hitimisho
Wakati mwingine usipende kufundisha vitu ambavyo huvijui bali jifunze kwa wenye uzoefu na si dhambi kukubali kuwa mjinga na kujifunza kwa waliokuzidi mafanikio. Busara si maneno tu bali ni vitendo dhahiri yenye mfano wa kuigwa kwa wale wanaotafuta njia.
Pili ifike wakati ukubali kuwa sehemu ya matokeo ya maisha yako na usipende kila wakati kuwatupia watu lawama kuwa wamekukwamisha. Yamkini maisha yako leo ni matunda ya mbegu uliyopanda miaka ya nyuma. Mbegu hupandwa kwa MANENO na VITENDO.

11/08/2024

" WOTE TUNA AKILI " shida ipo kwenye hiyo >>TIMAMU

12/03/2024

Amazing Talent from Morogoro Tanzania
Like and share

08/03/2024

FAKE BEEF😩

It has been noticed of late that invisible pornographic videos are published in people's profiles, without their knowled...
08/03/2024

It has been noticed of late that invisible pornographic videos are published in people's profiles, without their knowledge. The owner of the page doesn't see them, but others do, as if it were an authentic publication that you had made! They post their comments as if they were you... Please, if something as such happens on my page, notify me immediately. Out of respect for EVERYONE, as well as my faith and education, I distance myself from such publications. Copy and paste on your page. It is time for this phenomenon to stop.
THANK YOU.
*Copied*

Imegunduliwa hivi karibuni kuwa video za ngono zisizoonekana huchapishwa katika wasifu wa watu, bila wao kujua. Mmiliki wa ukurasa haoni, lakini wengine wanaziona, kana kwamba ni chapisho la kweli ulilochapisha! Wanachapisha maoni yao kana kwamba ni wewe... Tafadhali, jambo k**a hilo likitokea kwenye ukurasa wangu, nijulishe mara moja. Kwa heshima kwa KILA MTU, na pia imani na elimu yangu, ninajitenga na vichapo hivyo. Nakili na ubandike kwenye ukurasa wako. Ni wakati wa jambo hili kuacha.
ASANTE.
*Imenakiliwa*

07/02/2024

"ELIMU PEKEE NDIYO YENYE UWEZO WA KUPUNGUZA UJINGA" ..................Nikosoe 🤔🤔

24/01/2024

The family you create is more important than the family you come from

24/01/2024

The family you create is more important than the family you come from.

20/01/2024

HAJI MANARA NDOA DAKIKA 5 FYUUUU! anabadili wanawake k**a nguo!

TRAITS IN A MAN THAT ATTRACT A WOMAN1. CLARITYA man who is clear about his intention and role in a woman's life. Women d...
18/01/2024

TRAITS IN A MAN THAT ATTRACT A WOMAN

1. CLARITY
A man who is clear about his intention and role in a woman's life. Women don't like uncertainty; they invest their emotions, time and essence where it is clear she is the only one

2. VISION
A man who knows where he wants to go and is actively pursuing the vision, a man who is not just living for the here and now but has a long-term view of life; a legacy builder

3. DECISIVENESS
A man who is not afraid to make decisions and stand by them

4. HEALTHY PRIDE
A man who believes in himself and his worth. A man who takes pride in his name and the man he was been working on becoming; after all, the family will bear his name

6. HONESTY
A man who doesn't lie and is able to be real with the woman. Women can handle the truth

7. INTEREST AND CONCERN
A man who wants to search out the woman with care, a man who not only pays attention but also gives attention. Women love to be cared for

8. HUMOUR
A man who doesn't take life too seriously; he can be goofy, make memories, make her laugh, lighten a tough mood and make the children feel at ease. A woman cherishes laughter

9. CHARACTER
A man who has principles he lives by; a man who knows how to say no to what doesn't benefit his growth, a man with a firm identity

10. BALANCE
A man who is not just focusing on one aspect of his life. He is not working too much that he forgets his family, he is not bonding with his friends that he forgets his home, he is not too spiritual that he forgets to be romantic, he is not too much into money that he forgets the many things money cannot buy

11. STABILITY
A man who is dependable; who she can rely on. One who is committed and has a steady hand to navigate storms

Are you attractive to your wife?

Follow

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Eroo.tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share