Maiko Mbaigwa.

Maiko Mbaigwa. Min. Maiko Mbaigwa
Uponyaji na Ukombozi ni kwa Damu ya Yesu

🌟 *SEMINA YA NENO LA MUNGU - DAY 2* 🌟Tunapenda kuwajulisha kuwa *Semina ya Neno la Mungu* inaendelea kesho! Jiunge nasi ...
09/04/2025

🌟 *SEMINA YA NENO LA MUNGU - DAY 2* 🌟

Tunapenda kuwajulisha kuwa *Semina ya Neno la Mungu* inaendelea kesho! Jiunge nasi kwa siku ya pili ya mafundisho ya kina kutoka kwa *PASTOR YOHANA MBUGHI*

*Tarehe:* 09 APRIL 2025
*Muda:* 3:00 - 4:00 Usiku
*Mahali:* Block A.11 (Masters Class), CBE, Dodoma

Usikose nafasi ya kupokea neno la Mungu lenye nguvu! πŸ™
*Mawasiliano:* 0621813065

Tunaomba uwepo wako ili tuendelee kujifunza na kukua pamoja KirohoπŸ™

Usihofu wala usikate tamaa! Kazi unayoifanya kwa uaminifu na bidii ina thamani kubwa mbele za Mungu. Changamoto na majar...
14/03/2025

Usihofu wala usikate tamaa! Kazi unayoifanya kwa uaminifu na bidii ina thamani kubwa mbele za Mungu. Changamoto na majaribu ni sehemu ya safari, lakini usikubali kuyumbishwa. Endelea kusimama imara, ukijua kuwa juhudi zako hazitakuwa bure.

Mungu anakujua, anakuthamini, na atakulipa kwa wakati wake.
Endelea kusonga mbele kwa ujasiri na tumainiβ€”mshindi ni yule asiyekata tamaa!

 WA MTU.Kila kitu Mungu alichokifanya aliona ni kizuri na kinafaa. Lakini katika yote akafika mahali akasema kila kitu k...
19/05/2024

WA MTU.

Kila kitu Mungu alichokifanya aliona ni kizuri na kinafaa. Lakini katika yote akafika mahali akasema kila kitu kimekamilika katika uweza wake. Mungu alimfanya mtu kwa sura na mfano wake hivyo wewe ni mtu wa pekee. Ndipo Mungu akaona acha binadamu aje ulimwenguni ili aweze kutawala na kumiliki. Dhumuni la Mungu kumuumba mtu kwa sura na mfano wake ni ili aweze kutawala, ili aweze kufikia toba ya kweli, iIli mtu aweze kufika mahali ambapo Mungu alipomkusudia lazima ajue kuwa aliumbwa katika ukamilifu. Ndipo Mungu akasema namleta mtu hyu ulimwenguni na ndipo wewe ukaja kupitia kwa wazazi wako. Hivyo uthamani wako ni hiyo roho aliyowekwa ndani yako maana ndio yenye thamani. Mungu anaangalia roho aliyoiweka ndani yako.

Mwanzo 2:7
" Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai."

Bwana niumbie unyenyekevu ndani yanguπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈ
12/04/2024

Bwana niumbie unyenyekevu ndani yanguπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈ

Neema yako yanitosha BWANA πŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈ
29/03/2024

Neema yako yanitosha BWANA πŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈπŸ™‡πŸ½β€β™‚οΈ

At the presence of GODπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.
12/03/2024

At the presence of GODπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maiko Mbaigwa. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Maiko Mbaigwa.:

Share