Numeric Digital

Numeric Digital Welcome to Numeric Digital! Your ultimate destination for dynamic and diverse content that delves into the heart of national and international news.

At Numeric Digital, we strive to bring you insightful stories.

19/11/2025

DODOMA | Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndg. Kenani Laban Kihongosi alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma hii leo Novemba 19, 2025.

#

15/11/2025

ZANZIBAR | Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza katika hafla ya Kuwaapisha Mawaziri wateule wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambapo hafla hiyo ya uwapisho ilifanyika katika Viwanja vya Ikulu -Zanzibar.

15/11/2025

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

Ameziagiza hospitali zote nchini zihakikishe wajawazito wanapofika hospitali wahudumiwe kwa haraka ili kuokoa maisha ya mama na mtoto.

15/11/2025

WAZIRI MKUU AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

Atoa maagizo kwa Wizara ya Afya, MSD na hospitali zote nchini.

Ataka wajawazito wasisubirishwe mapokezi wanapofika hospitali

Wagojwa waipongeza Srtikali kwa kuboresha huduma za afya

DODOMA \ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha maalum kwa vijana wa...
14/11/2025

DODOMA \ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza msamaha maalum kwa vijana waliohusishwa na vurugu wakati wa kipindi cha uchaguzi, ambao walijikuta wakifuata mkumbo bila kufahamu uzito wa matendo yao.

Akitangaza uamuzi huo wakati akilihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025, Rais Samia alisema lengo la msamaha huo ni kuwapa nafasi vijana hao kurejea katika familia zao na kuanza upya maisha yao wakiwa na maadili na uelewa zaidi.

Uamuzi huu umepokelewa k**a hatua muhimu ya kuhimiza maridhiano, umoja na ustawi wa taifa.

13/11/2025

DODOMA \ Maneno ya Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya Kuthibitishwa kuwa Waziri Mkuu leo Hii Bungeni Dodoma.

13/11/2025

DODOMA | Mpambe wa Raisi akiwasilisha Jina la Waziri Mkuu Mteule kwa Spika wa Bunge

13/11/2025

DODOMA | MWIGULU NCHEMBA ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Dodoma | Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Wa...
13/11/2025

Dodoma | Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemteua Mwigulu Lameck Nchemba kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania.

NUMERIC SPORTS  I  Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, ametangaza kuwa yuko kwenye hatua za mwisho za safari yake ...
12/11/2025

NUMERIC SPORTS I Nyota wa soka duniani, Cristiano Ronaldo, ametangaza kuwa yuko kwenye hatua za mwisho za safari yake ya soka, akionyesha kuwa Kombe la Dunia 2026 huenda likawa fainali yake ya mwisho uwanjani, akiwa na umri wa miaka 40.

Ronaldo amesema amekuwa akijiandaa kwa maisha baada ya soka kwa muda mrefu, tangu akiwa na miaka 35, jambo linaloonesha utayari wake wa kuhamia kwenye sura mpya ya maisha.

Aidha, Ronaldo anakaribia kufikisha magoli 1,000 katika maisha yake ya soka,lengo ambalo amekuwa akiliwekea binafsi.

Safari yake inashangaza wengi, si tu kwa mafanikio yake uwanjani, bali pia k**a mfano wa maandalizi ya maisha baada ya soka.

PICHA 10:  Wabunge wakiapa  wakati wa Kikao cha kwanza na  cha  Pili cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu  Una...
12/11/2025

PICHA 10: Wabunge wakiapa wakati wa Kikao cha kwanza na cha Pili cha Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu Unaoendelea katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.

Address

Dar Es Salaam
0255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Numeric Digital posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Numeric Digital:

Share