31/08/2026
🕌 MAELFU YA WAISLAMU JIJINI DODOMA WASHIRIKI HADHARA YA MAULID
📍 Masjid Sunni Nunge – Dodoma
đź“… Tarehe 29/08/2026
Maelfu ya Waislamu Jijini Dodoma wamejitokeza kwa wingi kushiriki Hadhara ya Maulid, iliyofanyika katika Masjid Sunni Nunge Dodoma.
Hadhara hiyo imehudhuriwa na Wanazuoni Wakubwa kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya Tanzania, ikiwemo Kenya, Uganda pamoja na mikoa mbalimbali ya Tanzania.
Hadhara hii imefanyika chini ya usimamizi wa Mshauri wa M***i, Al-Hajj Ismail Dawood — Allah amuhifadhi.
📺 Endelea kufuatilia Daarul Arqam Online Tv kwa habari, picha na matukio mbalimbali ya Kiislamu kutoka ndani na nje ya Tanzania.
đź”´ DAARUL ARQAM ONLINE TV