UhuruPlatform

UhuruPlatform Media that provide quality for you

13/07/2025
29/06/2025
Kuna ukweli?
25/08/2024

Kuna ukweli?

11/08/2024

*SURPRISE*

𝗦𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗭𝗘 𝗬𝗔𝗢 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗦𝗔.Zilipigwa pasi 17 kabla ya Goli.. Zilitumika sekunde thalathini tu kupata goli. Na hapo Gamon...
10/08/2024

𝗦𝗜𝗢 𝗦𝗜𝗭𝗘 𝗬𝗔𝗢 𝗧𝗘𝗡𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗦𝗔𝗦𝗔.

Zilipigwa pasi 17 kabla ya Goli.. Zilitumika sekunde thalathini tu kupata goli.

Na hapo Gamond ameingia bila kujua aina gani ya mbinu wanayo tumia Simba FC, hakujua uchezaji wa mchezaji mmoja mmoja. Tofauti na Kocha wa Simba FC yeye alijua pale Yanga wachezaji gani ni hatari na wanatakiwa kuwa nao makini.

Muhimu zaidi wamepigwa na wanafurahi kufungwa, hiki ndicho ambacho Yanga tulitaka miaka mingi kije kitokee.
Ligi ikishaanza Gamond atajua kabisa Simba watacheza mpira gani, pengine mzunguko wa kwanza Simba anaweza kuingia kwenye mfumo k**a ilivyo kuwa kwa TINYO BOY.. Na Bongo Zozo BENCHIKA.

Nb/ Kitendo cha kufurahia kufungwa ni ishara kwamba Yanga sio SIZE yao tena. Endeleeni kujitafuta, mkija kujipata Yanga imesha chukua ubingwa mara 50 mtawalia.

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UhuruPlatform posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share