Recess News

Recess News Blog inayokuletea Habari za Kitaifa na Kimataifa | Habari za Michezo | Makala Zinazoelimisha na Kuburudisha | Habari za Mastaa

Jifunze Leo Jinsi ya Kutengeneza Avocado Smoothie
26/05/2020

Jifunze Leo Jinsi ya Kutengeneza Avocado Smoothie

Wapendwa watazamaji wa Kipindi changu cha kitchen with Jacqueline Kimambo leo ningependa kuleta ufundi wa kutengeneza AVOCADO SMOOTHIE kwa kutumia parachichi...

https://youtu.be/w3MQHLAfMW8
05/10/2019

https://youtu.be/w3MQHLAfMW8

- Maisha yamajaa changamoto chungumzima, katika maeneo yetu ya kazi, mashuleni, hata katika ndoa zetu (Life is full of challenges, in our work places, in sch...

Vichwa vilivyogonga magazeti Leo tarehe 26/03/2019     Bofya link kwenye bio kusoma zaidi
26/03/2019

Vichwa vilivyogonga magazeti Leo tarehe 26/03/2019



Bofya link kwenye bio kusoma zaidi

Vichwa vya habari vilivyogonga Magazeti Leo tarehe 26/03/2019
26/03/2019

Vichwa vya habari vilivyogonga Magazeti Leo tarehe 26/03/2019

23/03/2019

Dada Wa Diamond hataki ndoaDADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan amefunguka hataki kus...
17/03/2019

Dada Wa Diamond hataki ndoa

DADA wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Esma Khan amefunguka hataki kusikia tena kitu kinachoitwa ndoa kwa sababu mara nyingi mtu unaweza kupoteza muda wako kuitengeneza ndoa na kuilinda kumbe mwenzako hana mpango.

Bofya hapo chini kusoma zaidi

16/03/2019
Azam wafunguka Chirwa kujiunga SimbaIkiwa ni siku chache zimepita tangu Azam FC wamalizana na straika wake Donald Ngoma ...
16/03/2019

Azam wafunguka Chirwa kujiunga Simba

Ikiwa ni siku chache zimepita tangu Azam FC wamalizana na straika wake Donald Ngoma kwa kuongeza mkataba wa miaka miwili, taarifa za ndani kutoka kwa matajiri hao zinaeleza imekuwa ni ngumu kumalizana na Mzambia, Obrey Chirwa.

Bofya link kwenye bio kusoma zaidi

http://recessnews.blog/2019/03/16/azam-wafunguka-chirwa-kujiunga-simba/

Vichwa vya habari vilivyogonga magazeti Leo 16/03/2019baadhi ya vichwa vya habari vilivyogonga magazeti kwa upande wa ha...
16/03/2019

Vichwa vya habari vilivyogonga magazeti Leo 16/03/2019

baadhi ya vichwa vya habari vilivyogonga magazeti kwa upande wa habari kuu, ni pamoja na kichwa cha habari kilichochapishwa kwenye magazeti yaliyo mengi kufuatia Mbowe kusikitisha na Lowassa kuondoka Chadema 'Mbowe: Nimesikita Lowassa kuondoka '.

Bofya link hapo chini kusoma zaidi

Address

Dodoma

Telephone

+255766577155

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Recess News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share