Live Africa Media

Live Africa Media Live Africa Media is the media company which covers from social media,Television,radio,blogs,live news and other related discipline.

TUNAWATAKIWA HERI YA MWAKA MPYA WATANZANIA WOTE
31/12/2022

TUNAWATAKIWA HERI YA MWAKA MPYA WATANZANIA WOTE

TANZIARais John Pombe Magufuli Leo Ametangaza kufariki kwa Rais Mstaafu Wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, Mungu ailaz...
24/07/2020

TANZIA

Rais John Pombe Magufuli Leo Ametangaza kufariki kwa Rais Mstaafu Wa Tanzania, Benjamin William Mkapa, Mungu ailaze Roho ya marehemu mahali pema peponi, Habari zaidi zitakuja hivi punde.

Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamiminika Kupiga Kura Za Maoni Katika mkoa wa Simiyu Wilaya ya Bariadi.picha na
20/07/2020

Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamiminika Kupiga Kura Za Maoni Katika mkoa wa Simiyu Wilaya ya Bariadi.
picha na

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole ya Msiba, Familia ya Mwanasiasa Mkongwe Nchini, Balozi Job Lusinde, Nyumbani k...
09/07/2020

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole ya Msiba, Familia ya Mwanasiasa Mkongwe Nchini, Balozi Job Lusinde, Nyumbani kwa Marehemu Kilimani Jijini Dodoma, July 9,2020. Kutoka Kishoto Ni Mjane, Sarah Job Lisinde, Mtoto wa Marehemu, Dkt Mahewa job Lusinde na Waziri Mkuu mstaafu, John Malecela.

  JPM ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2020 LEO 17 JUNE 2020 Mwenyekiti wa CCM Dkt Magufuli Leo amechukua fomu ya kugombea...
17/06/2020


JPM ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS 2020 LEO 17 JUNE 2020

Mwenyekiti wa CCM Dkt Magufuli Leo amechukua fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamahiri ya muungano wa Tanzania, Kupitia chama chake CCM. Fomu hiyo amekabidhiwa na katibu Mkuu Dkt Bashiru ally asubuhi hii


17/06/2020

Unazungumziaje Mazoezi Hayo Ya Kijeshi Je wewe Utaweza?
Weka Comment Yako

DODOMA: mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Leo Ameshambuliwa na Watu wasiojulikana wakati Akielekea Nyumbani Kwake Kwa ...
09/06/2020

DODOMA: mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe Leo Ameshambuliwa na Watu wasiojulikana wakati Akielekea Nyumbani Kwake Kwa Sasa Amekimbizwa Hospitali Kwaajili Ya Matibabu

CCM WAKUTANA DODOMA Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Dkt. John P...
04/06/2020

CCM WAKUTANA DODOMA

Rais wa jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mh. Dkt. John Pombe Magufuli Akizungumza Jambo Na Rais Wa Zanzibar Ambaye Pia Ni mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Mohamed ali shein - Ikulu ya Chamwino Dodoma

Pembeni, Aliyevalia Kijani Ni Makamu Wa Chama Hicho, Philip Mangula

22/05/2020

Mchekeshaji Amsema "Game ya Bongo Tunashindwa Kupeana Support" Unadhani Kwanini?
Weka Comment hapa Chini


Address

DODOMA
Dodoma
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Live Africa Media posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share