15/12/2025
"Mpaka sasa kwenye ahadi zake Eng, Hersi alizotoa wakati anagombea nafasi ya urais yanga hajatimiza mpaka sasa zaidi ya mataji, ambapo mataji yanafuta madhaifu yake kwenye uongozi wake kwenye vitu ambavyo aliahidi atavifanya na hajavifanya, ndio maana mimi nasema Eng. Hersi angejikita kwenye hilo kuliko kusema moja kwa moja kwamba uongozi mbovu, ikiwa kinachoficha madhaifu yake k**a rais wa Yanga ni makombe. Lakini ukiondoa makombe ya Yanga na uka analyse ahadi ambazo Eng. Hersi amewahi kuziweka kwamba atazifanya ndani ya Yanga, na yeye pia amefeli kwasababu ndani ya muda mfupi ataenda kwenye uchaguzi mkuu, mpaka sasa hakuna ambacho ametekeleza zaidi ya Mataji"
Cc