Juma Elias

Juma Elias Juma Elias, a specialist with a Bachelor’s Degree in Commerce (Finance). I enjoy exchanging ideas, and I’m also a believer in entertainment matters.

Moreover, I am a God-fearing person.

25/12/2025

Haikuwa kazi nyepesi kufikia hapa tulipo leoni kwa neema tu ya mwenyezi mungu, bwana ifanye siku ya Leo kuwa yenye baraka kwetu nazaid uzidi kutulinda katika skukuu ya mwaka mpya

Nani kuinuka kidedea , mzizima derby yetu macho.tambo za mashabiki naendelea,je pita matola litaonekana ama pila ibenge,...
07/12/2025

Nani kuinuka kidedea , mzizima derby yetu macho.tambo za mashabiki naendelea,je pita matola litaonekana ama pila ibenge, follow my page Elias

Match day ,mzizima derby nani kuinuka mbabe .usipange kukosa, follow   Elias page
07/12/2025

Match day ,mzizima derby nani kuinuka mbabe .usipange kukosa, follow Elias page

Bila kuchoka chama langu,pamoja tunaweza
04/12/2025

Bila kuchoka chama langu,pamoja tunaweza

17/11/2025

Hello 👋👋 natumai u wazima,Leo ninalo swali Moja tu!.je wajua Leo yako ndo kesho Yako!!?,umejipangaje Leo kuifikia kesho Yako!!!? K**a bado hujajipanga,Cha kufanya bofya hii page uje tuyajenge,ni buree kabsa ,tupo kutengeneza kesho Yako.🙏🙏🙏

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Juma Elias posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share