JIWE STAR talent GROUP

JIWE STAR talent GROUP Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from JIWE STAR talent GROUP, Talent Agent, KATORO, GEITA, Geita.

MAISHA YANGU,ni filamu nzuri ya kibongo yenye kuelimisha usipite bila kuitazama naamini utaipendaTafadhari naomba subscr...
29/07/2024

MAISHA YANGU,ni filamu nzuri ya kibongo yenye kuelimisha usipite bila kuitazama naamini utaipenda
Tafadhari naomba subscribe,like n kushare

09/04/2024

Tazama watu wakiwa location wakijiandaa kwa kazi nzuri

27/03/2024

Ili kuburudika zaidi nenda youtube andika JIWE STAR talent GROUP utapata full movie
Usiache kusubscribe comment na kushare

27/03/2024

Usiache kufollow

Wapenzi nawafuatiliaji wa tamthili nzuri ya TAMADUNI ZETU episode 6 ipo hewani, tafadhari itazame, usiache kusubscribe k...
19/03/2024

Wapenzi nawafuatiliaji wa tamthili nzuri ya TAMADUNI ZETU episode 6 ipo hewani, tafadhari itazame, usiache kusubscribe kushare na kucomment

https://youtu.be/L4Ozkhlxez4?si=KbI2F_8_jkgJNsMTBONYEZA LINK HII ili uweze kutazama filamu nzuri yenye maadili ya kiafri...
07/02/2024

https://youtu.be/L4Ozkhlxez4?si=KbI2F_8_jkgJNsMT
BONYEZA LINK HII ili uweze kutazama filamu nzuri yenye maadili ya kiafrika
Usisahau kusubscribe like kushare na kucomment ili kuwa wa kwanza kupata mwendelezo.

Naomba uweze kutazama movie hiiusiache kusubscribe like kushare na kucomment naamini utaipenda filamu hii nzuri yenye maadili ya kiafrika.

Fuatilia mwendelezo wa CHOZI LA TABU ujue kipi kiliendelea Kwa TABUUsisahau kusubscribe, kucomment na kushare channel hi...
23/01/2024

Fuatilia mwendelezo wa CHOZI LA TABU ujue kipi kiliendelea Kwa TABU
Usisahau kusubscribe, kucomment na kushare channel hii

Usisahau kusubscribe, kushare na kucomment.

Karibu katika channel ya Instagram
13/01/2024

Karibu katika channel ya Instagram

JIWE STAR TALENT GROUP WANAWALETEA FILAMU MPYA INAYOKUJA KWA JINA LA CHOZI LA TABU SUBSCRIBE CHANNEL
12/01/2024

JIWE STAR TALENT GROUP WANAWALETEA FILAMU MPYA INAYOKUJA KWA JINA LA CHOZI LA TABU SUBSCRIBE CHANNEL

Ni kikundi kilichosheheni vipaji mbalimbali,nyite mnakaribishwa
05/01/2024

Ni kikundi kilichosheheni vipaji mbalimbali,nyite mnakaribishwa

Address

KATORO, GEITA
Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JIWE STAR talent GROUP posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category