Maningu MEDIA.

Maningu MEDIA. Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Maningu MEDIA., Geita.

21/05/2026

Live

JIMBO LA MAGU.Leo tuliangalie Jimbo la Magu upande wa Wabunge kuanzia mwaka 1965 hadi sasa.               BUNGE LA KWANZ...
20/05/2026

JIMBO LA MAGU.

Leo tuliangalie Jimbo la Magu upande wa Wabunge kuanzia mwaka 1965 hadi sasa.

BUNGE LA KWANZA.
Katika uchaguzi wa kwanza wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania mwaka 1965 jimbo hili lilijulikana kwa jina la Kwimba Kazikazini na mbuge wake alikuwa ni,

Mhe. M. Mabawa

Kwimba Kaskazini(TANU)
Kuanzia 12 Okt. 1965 -24 Julai, 1970.

BUNGE LA PILI.
Katika uchaguzi wa mwaka 1970 jimbo la Kwimba Kazikazini likabadilishwa jina na kuitwa Jimbo la Magu na likabaki na Mbunge wake yule yule,

Mhe. M. Mabawa

Magu (TANU)
Kuanzia 19 Nov. 1970 –18 Julai, 1975.

BUNGE LA TATU.
Katika uchaguzi wa mwaka 1975 jimbo la Magu likapata mbunge mpya ambaye ni;

Mhe. Philibert Bashiganye Kapunda

Magu(TANU/ CCM)
Kuanzia 06 Nov. 1975 -26 Julai, 1980.

BUNGE LA NNE.
Katika uchaguzi wa mwaka 1980 jimbo la Magu likapata mbunge mpya tena ambaye ni;

Mhe. Marco Mabawa

Magu (CCM)
Kuanzia 04 Nov. 1980 –31 Julai, 1985.

BUNGE LA TANO.
Katika uchaguzi wa mwaka 1985 jimbo la Magu likapata mbunge mpya tena ambaye ni;

Mhe. Ernest Kisumo Nyanda

Magu(CCM)
Kuanzia 02 Nov. 1985 -23 Julai, 1990.

BUNGE LA SITA.
Katika uchaguzi wa mwaka 1990 jimbo la Magu likabaki na Mbunge wake yule yule;

Mhe. Ernest Kisumo Nyanda

Magu(CCM)
Kuanzia 06 Nov. 1990 –04 Agosti 1995.

BUNGE LA SABA.
Katika uchaguzi wa mwaka 1995 Mhe. Malaki L. Lupondije wa CCM alishainda uchaguzi katika jimbo hili lakini hakumaliza muhula wake baada ya kufariki na ukaitishwa uchaguzi mdogo ambapo alishinda mbunge wa upinzani amabye ni;

Mhe. Malaki L. Lupondije

Magu (CCM)
Kuanzia 24 Nov. 1995 –17 Nov. 1997.

Mhe. John Momose Cheyo

Magu (UDP)
1998 –04 Agosti, 2000.

BUNGE LA NANE.
Katika uchaguzi wa mwaka 2000 jimbo la Magu likapata Mbunge mpya tena ambaye ni;

Mhe. Dkt. Festus Bulugu Limbu

Magu (CCM)
Kuanzia 14 Nov. 2000 -05 Agosti, 2005.

BUNGE LA TISA.
Katika uchaguzi wa mwaka 2005 jimbo la Magu likabaki na Mbunge wake yule

08/05/2026

Address

Geita

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maningu MEDIA. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share