Rockcityblog

Rockcityblog KWA MATANGAZO. WASILIANA nasi kwa namba Hizi +255789852956/+255624489100 au email [email protected]/[email protected], kwa maelezo zaidi.

Ni siku ambayo imetush*tua Wanaigunga, hatukutegemea k**a ingekuwa siku ya majonzi kwetu,Ila Mungu ndiye mwenyesiri juu ...
06/08/2023

Ni siku ambayo imetush*tua Wanaigunga, hatukutegemea k**a ingekuwa siku ya majonzi kwetu,Ila Mungu ndiye mwenyesiri juu yako.

RIP brooo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) ...
03/04/2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya vituo kwa Mabalozi wawili (02) na uteuzi wa Balozi mmoja (01) leo Aprili 3 2023.

Rais Samia amempangia Balozi Humphrey Herson Polepole kuiwakilisha
Tanzania nchini Cuba. Kabla ya uteuzi huu Balozi Polepole alikuwa
Balozi wa Tanzania, nchini Malawi.

Pia, amemteua Balozi Lt. Jenerali (mstaafu) Yacoub Mohamed kuiwakilisha Tanzania katika Falme za Kiarabu (UAE). Kabla ya uteuzi huu, Balozi Mohamed alikuwa Balozi wa Tanzania nchini Uturuki.

Aidha, Rais Samia amemteua Bw. Iddi Seif Bakari kuwa Balozi na kumpangia Ubalozi nchini Uturuki. Kabla ya uteuzi huu, Bw. Bakari alikuwa Konseli Mkuu nchini Dubai.

Kimbunga chayakumba majimbo mengi nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu 29. Rais Biden ametangaza kuwa jimbo la A...
03/04/2023

Kimbunga chayakumba majimbo mengi nchini Marekani na kusababisha vifo vya watu 29. Rais Biden ametangaza kuwa jimbo la Arkansas linaingia katika hali ya dharura na tahadhari.

Washauri wawili wa kijeshi wa Iran wauawa katika mashambulizi ya anga lililofanywa na Israel dhidi ya SyriaJeshi la Wali...
03/04/2023

Washauri wawili wa kijeshi wa Iran wauawa katika mashambulizi ya anga lililofanywa na Israel dhidi ya Syria

Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran limesema mshauri mmoja wa kijeshi wa Iran ameuawa hivi karibuni katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel dhidi ya Syria, kufuatia kifo cha mshauri mwingine wa Iran kilichothibitishwa hapo awali, na kusema Iran italipiza kisasi kwa Israel kufuatia vifo cha washauri hao wawili.

Taarifa iliyotolewa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Iran Bw. Nasser Kanani, imesema mashambulizi ya mfululizo yaliyofanywa na Israel dhidi ya Syria yamekiuka mamlaka na ukamilifu wa ardhi ya Syria na pia yamekiuka sheria za kimataifa, na kwamba damu ya washauri hao wawili wa Iran “haitamwagika bure.”

Amesema Iran itachukua hatua dhidi ya“vitendo hivyo vya uvamizi na jinai” katika pande za siasa na sheria, na kubaki na haki yake ya kuchukua hatua katika wakati mwafaka na mahali mwafaka.

KAGAME TENA KIBABE NDANI YA CHAMA.Rais wa Rwanda Paul Kagame amechaguliwa tena kwa asilimia 99.8 ya kura zote kuwa mkuu ...
03/04/2023

KAGAME TENA KIBABE NDANI YA CHAMA.

Rais wa Rwanda Paul Kagame amechaguliwa tena kwa asilimia 99.8 ya kura zote kuwa mkuu wa chama chake Rwandan Patriotic Front.

Mkutano wa 35 wa kimataifa wa chama cha rais, ulifanyika wikendi iliyopita. Zaidi ya wajumbe 2,000 walipiga kura siku ya Jumapili.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. kassim Majaliwa amesema tatizo la uzito uliozidi na kiribatumbo ni kubwa katika mikoa ya Ki...
02/04/2023

Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. kassim Majaliwa amesema tatizo la uzito uliozidi na kiribatumbo ni kubwa katika mikoa ya Kilimanjaro ambako wana asilimia 49 huku Dar es Salaam ikiwa na asilimia asilimia 48.6

Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo leo wakati akizindua Mbio za Mwenge mkoani Mtwara ambapo mikoa mingine yenye tatizo hilo kwa ukubwa ni Mjini Magharibi (asilimia 47.4) na Kusini Unguja (asilimia 39.4).

“Hali hii inaelekea kuwa janga la kitaifa na kisababishi kikubwa cha kuongezeka baadhi ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza k**a kisukari, saratani na magonjwa ya moyo.”

“Wananchi wenzangu, sasa ni wakati muafaka wa kubadili mitindo ya maisha yetu kwa kufanya mazoezi angalau nusu saa kila siku na kula mlo kamili sambamba na kuepuka vyakula vyenye mafuta mengi, sukari nyingi, pombe na sigara,” amesisitiza Waziri Mkuu


Kila mtu duniani atakuwa ametolewa kadi ya "Smart 'ya Kitambulisho cha kufuatiliwa siku 24, siku 7 kwa wiki na GelTa ya ...
30/03/2023

Kila mtu duniani atakuwa ametolewa kadi ya "Smart 'ya Kitambulisho cha kufuatiliwa siku 24, siku 7 kwa wiki na GelTa ya Kati yenye mashirika yaliyoundwa na • FBI • KGB • CIA • DIA • DSA • IRS • IRR • • OSHA • NCIC • USDA • FDA • NRO • II • • Banf • Ufikiaji wa Umoja wa Mataifa • Europol • EXPOPOL • Interpol • Mossad • Mabodi ya Msaidizi • Maktaba ya MaBADD • Ubora wa MaBBafu utakuwa na microchip mabrochi ya mabrop ya mag ya watoto wachanga watakuwa na microchip kuwa na microchip itakuwa na microchip kuwa na microchip itakuwa na microchip kuwa na microchip magchichip itakuwa na microchip magchichop kupakia upasuaji wa mpira wa mabrshic utakuwa na microchip magchichop kupakia upasuaji wa mpira wa mabrk.

Bidhaa zote za viwandani zitawekwa alama na idadi ya mnyama, 666. ambayo ni mfumo wa vyeti wa ISO 9000. Bilderbergers, alifanya uamuzi wa amri kwa ISO 9000. Nchi 100 zimeipitisha na ni haraka kuwa mahitaji pekee ya kufanya biashara katika mataifa yote ya dunia. NSA ambaye anadhibiti L.u.c.i.d.

Mtandao mkubwa wa kompyuta unahusisha, waangalizi na uchambuzi data na ripoti kutoka kwa mabenki ya kimataifa, 32 Directorates ya Umoja wa Mataifa, msingi wa jamii za siri, Vatican na mashirika mbalimbali ya mataifa 170.

Aminist ya Aceice Baciley inahusishwa kwa karibu na uongozi wa Umoja wa Mataifa na Uanachama ni pamoja na Robert McNamara, Katibu wa Ulinzi wa zamani na mkuu wa zamani wa Benki ya Dunia. Lengo la msingi la Lucis Trust ni amri mpya ya dunia / serikali moja ya dunia iliyowekwa na mwalimu wa dunia, labda ETIT EINIT Maitreya.

Jeshi la Dunia la Umoja wa Mataifa, na kuwa na udhibiti wa kijeshi na nguvu za utekelezaji wa sayari nzima.

Kompyuta zote duniani, habari nzima ya habari itaunganishwa kwenye l.u.c.i.d. Itakuwa msingi wa msingi wa sayari, kuunganisha mifumo yote na mifumo ya data.

Wale walioidhinishwa watapata data ya mara kwa mara kwa watu binafsi kufuatilia na kudhibiti kila hoja na chip katika kadi, au kuingizwa katika mwili.

Kadi hizi zinaweza kupunguzwa kwa mamia ya maelfu ya vituo vya scanner na kuwa na zaidi ya tano ya data ya data kwa kila mtu wa data iliyosasishwa.

Texe anaandika kwamba scanners zitakutambua kwa sura ya mkono wako, mguu, uso au kichwa, vidole, aina ya damu, anigen ya binadamu ya leukocytes, DNA, ISS Scan na sauti.

Kamera za satelaiti ambazo zinaweza kuchukua picha za kutafakari 35mm za mipira ya gorofa ya juu, zitaweza kukupata kutoka kwenye chip kwenye kadi, hakuna mtu anayeweza kununua na kuuza bila hiyo.

Dana za DNA zina sampuli za damu kutoka kwa watoto wachanga tangu miaka ya 1960 k**a uchunguzi wa hali ya lazima, pamoja na kijeshi na wahalifu wamekuwa database.

John St. Clair Akwei anaandika katika kitabu cha Texe, kwamba ujumbe wa akili wa ISS wa NSA umebadilika kuwa mpango wa kutua mawimbi ya EMF katika mazingira, kwa kupiga simu kwa waya na kompyuta na kufuatilia miili ya umeme.

Kila kitu katika mazingira na sasa ya umeme ndani yake ina flux magnetic kuzunguka ambayo inatoa mbali mawimbi ya EMF. NSA / DOD imeunda vifaa vya juu vya digital ambavyo vinaweza kuchambua vitu vyote, k**a manmade au kikaboni, ambacho kina shughuli za umeme. Shamba la bioelectric lengo linaweza kuonekana kwa mbali, na kufuatiliwa saa 24 kwa siku.

Kwa vifaa maalum vya EMF vya NSA CRAPROLOGISTS vinaweza kusoma uwezekano wa kutosha (kutoka Eegs) ambazo zinaweza kuwekwa katika majimbo ya akili na mawazo ya mtu.

Rekodi za NSA na huamua ramani za ubongo za mamia ya maelfu na maelfu ya watu.

Vituo vya hotuba vya ubongo vinaweza kutafsiriwa katika mawazo ya maneno ya mtu na hii inaweza kutumiwa na hallucinations ya ukaguzi iliyopangwa inaweza kusababisha. Kumbukumbu ya kuona pia inaweza kuonekana k**a picha kutoka kwa ubongo wa mtu kwenye kufuatilia video.

Wafanyabiashara wa NSA wanaweza kuweka picha katika ubongo wa mtu wakati wao ni katika usingizi wa remi kwa madhumuni ya programu ya ubongo.

Hivyo mawazo ya mikondo, picha na sauti ya mtu yeyote anaweza kuhesabiwa kusoma na kubadilishwa na kompyuta za NSA za nguvu zaidi duniani.

Nguvu nyingi imechukuliwa mbali na jamii ya wanadamu sasa kutokana na mikataba ya kimataifa inayoondolewa uhuru.

Wanajeshi wa Burundi Jumamosi ya tarehe 25 ya mwezi huu walifanikiwa kuzima shambulio dhidi ya raia lililofanywa na kund...
27/03/2023

Wanajeshi wa Burundi Jumamosi ya tarehe 25 ya mwezi huu walifanikiwa kuzima shambulio dhidi ya raia lililofanywa na kundi linaloshukiwa kuwa na silaha katika kijiji cha Mushaki, eneo la Masisi.

Raia wawili waliojeruhiwa walihamishwa na wanajeshi wa FARDC na KDF kutoka Makao Makuu ya wanajeshi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki hadi katika Hospitali ya CBK Ndosho huko Goma, kwa ajili ya kupokea huduma zaidi za afya.

Taarifa: EACRF

FT' Uganda 0️⃣-1️⃣  ⚽️Msuva
24/03/2023

FT' Uganda 0️⃣-1️⃣
⚽️Msuva

AWESO AMWAKILISHA RAIS SAMIA UMOJA WA MATAIFAWaziri wa Maji Mhe  anamwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais...
24/03/2023

AWESO AMWAKILISHA RAIS SAMIA UMOJA WA MATAIFA

Waziri wa Maji Mhe anamwakilisha Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Maji unaofanyika Umoja wa Mataifa, New York, tarehe 22-24 Machi 2023.

Waziri Aweso amehutubia Mkutano huo jana jioni ambapo Katika hotuba yake amebainisha umuhimu wa dunia kukaa pamoja na kusimamia agenda ya maji; thamani ya maji katika maisha na uchumi; kuongeza uwekezaji katika eneo la maji; ushirikiano wa kimataifa katika maji; pamoja na utafutaji wa fedha kwa ajili ya maji.

Aidha, Katika mkutano, Tanzania imebeba agenda mbili ambazo ni utekelezaji wa Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Maji Awamu ya Tatu (Water Sector Development Programe III) ambayo inahitaji Dola za Marekani Bilioni 6.47 katika kipindi cha 2022-2025.

Vilevile, Tanzania imejipambanua kwa agenda ya uwekezaji katika Sekta ya Maji ili kufikia Malengo Endelevu ya Umoja wa Mataifa (Tanzania Water Investment Programme 2023-2030). Programme ambayo bado inaandaliwa na ipo hatua za mwisho kuzinduliwa inakadiriwa kuwa na bajeti ya zaidi ya Dola za Kimarekani Bilioni 25 na itazinduliwa Mei 2023.

Watu 193 wawekwa karantini kufuatiliwa viashiria vya Marburg mkoani Kagera nchini TanzaniaMganga Mkuu wa Serikali ya Tan...
24/03/2023

Watu 193 wawekwa karantini kufuatiliwa viashiria vya Marburg mkoani Kagera nchini Tanzania

Mganga Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Tumaini Nagu amesema, watu 193 wamewekwa karantini kufuatiliwa viashiria vya virusi vya Marburg, huku wagonjwa wengine watatu wakiendelea na matibabu na hali zao zinaendelea kuimarika, na hakuna maambukizi mapya.
Akizungumza na wanahabari mjini Bukoba juu ya mikakati ya serikali ya kupambana na ugonjwa huo, Dr. Nagu amesema kuwa mikakati hiyo ni pamoja na kuendelea kuelimisha wananchi juu ya kupambana na ugonjwa huo kwa kunawa mikono na maji safi tiririka yenye sabuni, pia kutogusana mikono, na kutoa taarifa kwa viongozi waliopo kwenye maeneo yao wanapobaini mtu mwenye dalili za kutapika au kutapika damu, kuharisha au kuharisha damu, kutokwa damu sehemu mbalimbali za mwili kuumwa kichwa na joto la mwili kupanda.
Aidha mkakati mwingine ni pamoja na kuweka vifaa vya kupima joto la mwili, vitakasa mikono na maji tiririka yenye sabuni maeneo yenye mikusanyiko ya watu k**a vituo vya magari, maeneo ya soko, kwenye viwanja vya ndege, bandarini, na sehemu za biashara.

Watu watano kati ya nane waliokuwa na maambukizi ya ugonjwa wa kirusi cha Marburg wamefariki dunia mkoani Kagera,  baada...
21/03/2023

Watu watano kati ya nane waliokuwa na maambukizi ya ugonjwa wa kirusi cha Marburg wamefariki dunia mkoani Kagera, baada ya kuibuka mlipuko wa ugonjwa huo mkoani humo.

Kufuatia kirusi hicho, Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewataka Wananchi kuchukua tahadhari na kufika hospitalini wanapoona dalili ya kutokwa na damu sehemu mbalimbali, kutapika, kuharisha, homa na kuishiwa nguvu na kwamba ugonjwa huo hauna tiba maalum.

Aidha Waziri Ummy amewataka Watumishi wa afya nchi nzima kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo na kubainisha kuwa ugonjwa haujasambaa katika maeneo mengine.

Kati ya watu watano waliofariki dunia mkoani Kagera, wanne ni wa familia moja na mmoja ni Mtumishi wa afya.

Ugonjwa wa Kirusi cha Marburg kwa mara ya kwanza ulibainika nchini Ujerumani mwaka 1967 ambapo kwa Afrika umewahi kuibuka katika nchi za Uganda na Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC).

Kirusi cha Marburg huambukizwa kutoka kwa mtu aliye na kirusi hicho kwenda kwa mwingine ama kutoka kwa mnyama kwenda kwa binadamu.

Chanzo TBC.

Address

Barabara Ya Mbutu, Mtaa Wa Magharibi
Igunga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Rockcityblog posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Rockcityblog:

Share