UlemoMpya

UlemoMpya Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from UlemoMpya, Digital creator, Ikungi.

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi Mhe Dkt Mwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Ucha...
09/09/2025

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi Mhe Dkt Mwigulu Nchemba akihutubia katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika uwanja wa Bombadia mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi Mhe, Dkt Mwigulu Nchemba akiwa katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi...
09/09/2025

Mgombea Ubunge Jimbo la Iramba Magharibi Mhe, Dkt Mwigulu Nchemba akiwa katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika Ikungi Mashariki mkoani Singida tarehe 09 Septemba, 2025.

09/09/2025
08/09/2025
KARIBU SANA MAMA WILAYANI IRAMBA Wananchi wote tukutane kwa shangwe na nderemo viwanja vya CCM Lulumba tarehe 10/09/2025...
06/09/2025

KARIBU SANA MAMA WILAYANI IRAMBA

Wananchi wote tukutane kwa shangwe na nderemo viwanja vya CCM Lulumba tarehe 10/09/2025 kumpokea Mama yetu kipenzi, kumshukuru kwa maendeleo makubwa aliyotuletea na kumkabidhi tano tena.

Kazi na Utu tunasonga Mbele.


Karibu Sana Iramba mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM  ndugu Dkt....
05/09/2025

Karibu Sana Iramba mgombea kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan

KAZI NA UTU TUNASONGA MBELEMUNGU KWANZA
30/08/2025

KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE
MUNGU KWANZA

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba ameshiriki  katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Tanga...
29/08/2025

Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Nchemba ameshiriki katika uzinduzi wa kampeni uliofanyika jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Tanganyika Packers. Tukio hili limeakisi mshikamano, na matumaini makubwa kwa taifa letu."


Address

Ikungi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UlemoMpya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share