Studio 9 Entertainmet

Studio 9 Entertainmet Studio 9 Entertainment ni kampuni inashughulika na Shughuli Mbalimbali Video Production & Editing(VFX, Motion Graphics)

Mpita Njia πŸ˜‚
08/03/2026

Mpita Njia πŸ˜‚

Mpita Njia
08/03/2026

Mpita Njia

Hustle Zitalipa πŸ™πŸΎ
08/03/2026

Hustle Zitalipa πŸ™πŸΎ

I see U
08/03/2026

I see U

08/03/2026
meneja KiJANA 007
08/03/2026

meneja KiJANA 007

Happy Birthday to Me πŸ™πŸΎ
15/02/2026

Happy Birthday to Me πŸ™πŸΎ

Alhamdulillah   πŸ™πŸΎπŸŽ‚
15/02/2026

Alhamdulillah πŸ™πŸΎπŸŽ‚

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, kwa pumzi ninayoivuta, na kwa safari niliyoifikia hadi leo. Kila mwaka una...
15/02/2026

Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa zawadi ya uhai, kwa pumzi ninayoivuta, na kwa safari niliyoifikia hadi leo. Kila mwaka unaopita ni ushuhuda kuwa bado nina sababu ya kuishi, kupenda na kupigania ndoto zangu.

Ninajitakia afya njema, mafanikio makubwa, amani ya moyo na nguvu ya kusimama hata pale maisha yanapojaribu kunitikisa. Naamini safari yangu bado ina baraka nyingi mbele yake.

Kwa wazazi wangu wapendwa waliotangulia mbele za haki… 🀍
Nawashukuru kwa upendo, malezi, maadili na msingi mlionijengea. Leo hii nipo hivi kwa sababu ya dua, jasho na moyo wenu wa kujitoa.
Mwenyezi Mungu awarehemu, awasamehe makosa yao, na awape makazi mema peponi. Awaweke mahali pema penye nuru na amani ya milele.

Ingawa hamko nami kimwili, mpo moyoni mwangu kila siku.
Leo naadhimisha siku yangu nikiwa na kumbukumbu yenu k**a baraka kubwa maishani mwangu.

Happy Birthday to me. πŸ€πŸŽ‚
Safari inaendelea… kwa heshima yenu na kwa jina lenu

Ijumaa Kareem
13/02/2026

Ijumaa Kareem

kwenye Mbishe
26/12/2025

kwenye Mbishe

Address

Ilala

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Studio 9 Entertainmet posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Studio 9 Entertainmet:

Share