17/12/2025
🕌 Misikiti 10 Mikubwa Duniani (Kwa Ukubwa & Uwezo)
1. Msikiti Mkuu wa Al-Haram – Makkah, Saudi Arabia
Uwezo:takribani waumini milioni 2–4 wakati wa Hija
Ukubwa: zaidi ya m² 356,000
Msikiti mkubwa na mtukufu zaidi katika Uislamu
2.Msikiti wa Mtume (An-Nabawi) – Madinah, Saudi Arabia
Uwezo:takribani waumini milioni 1–1.5
Ukubwa: karibu m² 400,000
3. Msikiti Mkuu wa Algiers– Algiers, Algeria
Uwezo: takribani waumini 120,000
Ukubwa:karibu m² 270,000
Msikiti mkubwa zaidi Afrika
4. Msikiti wa Faisal – Islamabad, Pakistan
Uwezo: takribani waumini 100,000
Ukubwa:karibu m² 130,000
5. Msikiti wa Hassan II – Casablanca, Morocco
Uwezo: waumini 105,000 (ndani + nje)
Ukubwa: takribani m² 90,000
6. Msikiti wa Badshahi– Lahore, Pakistan
Uwezo:takribani waumini 100,000
Ukubwa: karibu m² 75,000
7. Msikiti wa Istiqlal – Jakarta, Indonesia
Uwezo: takribani waumini 120,000
Ukubwa:karibu m² 120,000
Msikiti mkubwa zaidi Asia ya Kusini Mashariki
8. Msikiti Mkuu wa Sheikh Zayed – Abu Dhabi, UAE
Uwezo:takribani waumini 40,000
Ukubwa: karibu m² 290,000
9. Msikiti wa Jama Masjid – Delhi, India
Uwezo: takribani waumini 25,000–30,000
Ukubwa: karibu m² 30,000
10. Msikiti wa Haram ya Imam Reza– Mashhad, Iran
Uwezo:zaidi ya waumini 700,000 katika eneo lote la jengo
Ukubwa:zaidi ya m² 600,000 (kompleksi nzima)
tukumbuke kuwa kila kitu tunachotoa kwa njia ya kheri hakipotei. kila sadaka, hata ndogo kuliko chembe ya mchanga, inaandikwa na mola na inatujengea makazi bora ya milele. tukiunga mkono uwekaji wa alama isiyofutika kijiji cha utengule-iringa, tunashiriki katika kuitukuza neema ya allah iliyoijionyesha dhwahiri. huu ni mwaliko kwa kila mwenye moyo mweupe kuweka alama katika akhera yake.
CHANGIA KUPITIA NAMBA:
M-PESA 0769 756 490
YAS | MIX 0715 868 990
HALOPESA 0619 115 190
JINA: MUDATHIR ISSA YOYOTA