Sawaka HD - Creator Funs

Sawaka HD - Creator Funs All About Business Point

Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka ...
18/10/2025

Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake,

Mwanangu mpendwa umeniacha Katika hali ya uzee na maradhi, wakati wa kutayarisha shamba umefika, na sina mtu wa kunilimia, natamani ungekuwepo ukanisaidia kulima na kupanda mahindi. Tutaonana mungu akipenda.

Mtoto akajibu- Baba tafadhali usije lima katika hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela, pesa zote nilizoiba nimezifukia Katika shamba hilo.

Kwa kuwa barua zote za wafungwa husomwa na Askari wa gerezani. Baba siku ya pili alipoamka akakuta Askari magereza zaidi ya 100 wanalima shamba. Mpaka wakamaliza wasipate kitu.
Mtoto akamwandikia Baba yake,
Mpendwa baba natumai msaada niliokupa umeufurahia, panda mahindi sasa.
.๐Ÿ‘ฎ๐Ÿ‘ฎ๐Ÿƒ๐Ÿƒ

K**a bado hujanifollow ni follow ๐Ÿ™๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‹

08/10/2025
08/10/2025

follow us๐Ÿ”ฅ

HD looks๐Ÿ’ฅ
01/08/2025

HD looks๐Ÿ’ฅ

Hii ni kwa watanzania pekee wenye kurasa hapa fb.Let's start Follow By Follow.
31/07/2025

Hii ni kwa watanzania pekee wenye kurasa hapa fb.

Let's start Follow By Follow.

Actor and Director: Sawaka HD at  HD PICTURES PRODUCTION
06/08/2024

Actor and Director: Sawaka HD
at HD PICTURES PRODUCTION

04/02/2024

Happy birthday my favorite
๐Ÿ‘‰ Sawaka HD a.k.a Comrade๐ŸŽ‰

Address

Majengo
Kahama
37301

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sawaka HD - Creator Funs posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share