
28/05/2025
Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ametia saini mswada wa sheria unaowataka madereva wote wa magari nchini humo kulipia ushuru wa kusikiliza redio kabla magari yao hayajapewa bima ya magari.
Kulingana na sheria hiyo mpya ya ushuru, madereva watatakiwa kulipia kiasi cha Dola 92 za
Kimarekani kila mwaka ili kusikiliza redio kwenye
magari yao.