BOBO the BEST - Btb

BOBO the BEST - Btb Entertainment,sports,arts and news page

Hata hapa tulipo ni sehemu tuliyokuwa tunapiga goti kuwepo.
09/05/2026

Hata hapa tulipo ni sehemu tuliyokuwa tunapiga goti kuwepo.

09/05/2026

Hata hapa tulipo ni sehemu tuliyokuwa tunapiga goti kuwepo.

02/03/2026

Sikiliza shairi lote youtube link ta kwanza kwenye bio MTU WA KITABU By

Kila siku tunasoma hadithi za mashujaa wa kwenye vitabu

wa upendo k**a Romeo and Juliet,
wa imani k**a waliomo kwenye Bible na Qur'an,
wa historia k**a Siti binti Saad,
na viongozi waliobaki kwenye kumbukumbu k**a John Magufuli.

Lakini huwa tunasahau kitu kimoja…
Kwamba hata sisi tunaishi hadithi.

“Mtu wa Kitabu” sio mkamilifu.
Ni yule anayejua mazuri na mabaya yake.
Anayekiri makosa yake.
Anayepambana na nafsi yake.
Anayechagua kuwa bora leo kuliko jana.

Huenda hawajakuandika bado…
Lakini huenda wewe ndiye hadithi inayofuata kusimuliwa.

📖✨ Nataka usome ujue haya maajabu… ya mimi, mtu wa kitabu.

29/01/2026

Sikiliza Shairi zima link kwenye bio

EPHEBIPHOBIA - Neno hili linatokana na neno la kigiriki "Ephobos" linalomaanisha kijana, na "Phobos" linqlomanisha hofu au woga. Jambo hili linaweza kupelekea mawazo hasi dhidi ya vijana na kuathiri maamuzi ya kijamii au kilaamu kuhusu vijana. Kupitia shairi hili mwandishi Peter Charlz ameonyesha ni kwa namna gani vijana wanaweza kushiriki katika uongozi na kufanya maamuzi, na kuitoa jamii hofu au woga kuhusu ushiriki wa vijana. Jambo ambalo ni mtazamo hasi katika jamii kutokana na sababu mbalimbali k**a tunavyona kwenye shairi.

13/01/2026

Celebrating my 8th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉

11/01/2026

Je ni kweli dini sio kweli ni USHAWISHI WA KIFIKRA ( Brainwashing). Sas unaweza kusiki zaidi kuhusu hili kwa kutazama video nzima Link kwenye BIO.

10/01/2026

Karibu BOBOtheBEST!
Katika video ya leo, tunachambua maswali magumu yanayohusu dini, utamaduni, na asili ya imani. Tukiwa tumechochewa na swali la kale la Epicurus kuhusu asili ya Mungu na uwepo wa uovu, tunachunguza jinsi dini inavyoathiri maisha yetu na mitazamo yetu. Je, dini hutuongoza kwenye ukweli, au inaundwa zaidi na ushawishi wa kitamaduni? Na je, wakati mwingine inaweza kuwa chombo cha udhibiti?

Katika video hii, tutajadili:

Kitendawili cha Epicurus: Kwa nini mateso na uovu vipo ikiwa Mungu ana nguvu zote na ni mwema?

Ushawishi wa Utamaduni katika Dini: Jinsi desturi za kidini zinavyoweza kuathiriwa na mila za jamii husika.

Wazo la Brainwashing: Je, elimu ya kidini huzuia kuuliza maswali, au huimarisha imani?

Imani dhidi ya Sayansi: Vinakutana wapi, na vinapingana wapi?

Tuwe na mjadala wa wazi—hakuna mada iliyopigwa marufuku. Shiriki mawazo yako, uliza maswali, na tuchunguze pamoja!

Usisahau kusubscribe kwa video zaidi zinazopinga fikra za kawaida, na kupenda (Like) k**a umefurahia maudhui ya leo.

Address

Nyihogo
Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BOBO the BEST - Btb posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to BOBO the BEST - Btb:

Shortcuts

Share

Category