ZINZA TV

ZINZA TV KWA HABARI ZAIDI INGIA YOUTUBE CHANNEL YETU KUTAZAMA HABARI BOFYA HAPA Kila jambo linalo tendeka ni Bwana Yesu katenda

25/11/2024
Leo Agosti 23 Yanga wamepokea barua kutokaFIFA kuhusu madai ya Augustine Okrah ya kuvunjiwamkataba wake kinyume na utara...
23/08/2024

Leo Agosti 23 Yanga wamepokea barua kutoka
FIFA kuhusu madai ya Augustine Okrah ya kuvunjiwa
mkataba wake kinyume na utaratibu.

Wamepewa muda hadi Sept 12 kujibu suala hilo
a Agosti 19 walipata barua ikiwataka wailipe Bechem
Milioni 216.8 k**a ada ya uhamisho.

Baada ya Yanga 🇹🇿 dhidi ya Bechem United 🇬🇭 sasa ni Yanga dhidi ya Augustine Okrah 🇬🇭

Hii timu unapenda madeni sana.

CAF Women’s Champions League CECAFA Qualifiers HT’  Simba Queens 🇹🇿2️⃣-1️⃣ 🇧🇮PVP Buyenzi ⚽️Gentrix Shikangwa ⚽️Vivian Co...
23/08/2024

CAF Women’s Champions League CECAFA Qualifiers

HT’ Simba Queens 🇹🇿2️⃣-1️⃣ 🇧🇮PVP Buyenzi
⚽️Gentrix Shikangwa
⚽️Vivian Corazone

“Msimu huu tuna timu bora kuliko muda wowote ule, tunayo timu tishio sio tu ndani ya Tanzania hadi nje ya mipaka ya Tanz...
23/08/2024

“Msimu huu tuna timu bora kuliko muda wowote ule, tunayo timu tishio sio tu ndani ya Tanzania hadi nje ya mipaka ya Tanzania. Nitashangaa kusikia watu wanasema Mzize inabidi atoke ili akakue zaidi, lakini watu hao hao hawaangalii tulipomtoa Mzize, Wananchi tupuuze maneno yao kwani lengo lao wanataka kutuvuruga.

Nawahakikisha Clement Mzize, bado yupo sana Yanga. K**a ndoto zenu ni Mzize aondoke kwa sababu ambazo hazina kichwa wala miguu, chini ya Injinia Hersi hawezi kuondoka Yanga. Tunayo nguvu ya ushawishi na nguvu ya kiuchumi. Tuna wachezaji bora na watabaki kuwa bora ndani ya Yanga. Shida yenu hamuamini k**a Yanga imekuwa klabu bora na kubwa AFRIKA”

Ally Kamwe


Timu ya Coastal Union imeachanana kocha wao David Ouma raia waKenya.Ouma na Coastal wamefikiamakubaliano ya pande mbili....
23/08/2024

Timu ya Coastal Union imeachana
na kocha wao David Ouma raia wa
Kenya.

Ouma na Coastal wamefikia
makubaliano ya pande mbili.

Joseph Lazaro na Ngawina Ngawina
ndio ambao wamepewa jukumu la
kukinoa kikosi cha Coastal Union,
wakati wanatafuta kocha
mwingine.

❌ Yanga wamekataa ofa ya pili ya Wydadya $200K (Tshs 541m) kuhusu Clement Mzizeitakayoongezwa hadi $500k (Tshs 1.3B) kut...
23/08/2024

❌ Yanga wamekataa ofa ya pili ya Wydad
ya $200K (Tshs 541m) kuhusu Clement Mzize
itakayoongezwa hadi $500k (Tshs 1.3B) kutokana na
Performance

bado hawajaamua k**a watarudi na ofa
ya tatu.

Kesho watafanya maamuzi ya mwisho.
Wydad

Mzize anataka kuondoka

Yanga wanapaswa kumwacha kijana aende akapambanie maisha yake ya baadae.

 : Mwimbaji wa kundi la nyimbo za Injili la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia wakati akiwa anapatiwa matibabu ...
22/08/2024

: Mwimbaji wa kundi la nyimbo za Injili la Zabron Singer, Marco Joseph amefariki dunia wakati akiwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Moyo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili usiku wa kuamkia leo Agosti 22, 2024.

Endelea Kufuatilia kurasa Zetu kwa Taarifa zaidi

ETI WADAU MNAONAJE JE NI KWELI HII AU KUNA UPENDELEO MAHALI ?
20/08/2024

ETI WADAU MNAONAJE JE NI KWELI HII AU KUNA UPENDELEO MAHALI ?

HAWA HAPA WALIO LAWITI NA KUBAKA
20/08/2024

HAWA HAPA WALIO LAWITI NA KUBAKA

Goli kipa mpya wa klabu ya simba M***a Camara huwenda akaongeza ushindani kwa gori kipa bora wa misimu miwili mfurulizo ...
20/08/2024

Goli kipa mpya wa klabu ya simba M***a Camara huwenda akaongeza ushindani kwa gori kipa bora wa misimu miwili mfurulizo Djigui Diara.

Camara anaonekana yupo vizuri zaidi kwenye kujilinda pamoja na kumiliki mali mguuni k**a ilivyo kwa Diara.

Diara alipata upinzani mkubwa msimu uliyopita kutoka kwa kipa wa kikongomani Leny Matampi wa Coastal Union aliye ibuka kuwa gilikipa bora wa mshandano .

JE CAMARA ATAFUA DAFU MBELE YA MATAMPI NA DIARA ?

#

Sakata la binti aliyedaiwa kubakwa na kulawitiwa na Watu watano limeendelea kuchukua sura mpya na kuibua hisia mseto mar...
19/08/2024

Sakata la binti aliyedaiwa kubakwa na kulawitiwa na Watu watano limeendelea kuchukua sura mpya na kuibua hisia mseto mara baada ya Jeshi la Polisi kupitia kwa K**anda wa Polisi mkoa wa Dodoma Kamishna msaidizi mwandamizi (SACP) Theopista Mallya kusema kuwa vijana wanaotuhumiwa kutenda tukio hilo la 'kinyama' walikuwa k**a walevi/ wavuta bangi na kwamba muathirika wa tukio hilo (binti) alikuwa k**a kahaba

SACP Mallya ametoa kauli hiyo iliyoibua mjadala usiokuwa na majawabu miongoni mwa jamii alipohojiwa na gazeti ya Mwananchi ambapo katika maelezo yake amesema jalada la kesi hiyo limekamilika na kuwa leo, Jumatatu Agosti 19.2024 atafuatilia kuona k**a litafikishwa Mahak**ani

Kuhusu madai ya vijana watano (5) wanaotuhumiwa kutenda kosa hilo kuwa wametumwa na mtu mmoja aliyetajwa kwa jina la 'Afande', K**anda wa Polisi mkoa (RPC) Dodoma amesema uchunguzi wa Jeshi la Polisi umebaini kuwa vijana hao hawakutumwa na askari yeyote na kwamba katika mahojiano vijana wenyewe wamekana kuagizwa na askari yeyote k**a inavyoelezwa

"Neno askari (Afande) ni general (yaani la jumla) kwa kuwa hata Mgambo (Askari wa Jeshi la akiba) ni askari hivyo hatuwezi kulifafanua zaidi kwa kuwa haikubainishwa wazi na tunaliacha hivyo" -SACP Mallya

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP) Sylvester Mwakitalu amesema jalada la kesi hiyo halijafikishwa ofisini kwake kwa kuwa bado linaendelea kuchunguzwa na Jeshi la Polisi

Amesema anaamini suala hilo bado linaendelea kufanyiwa upelelezi na Jeshi la Polisi na kwamba ofisi yake ina jukumu la kukamilisha upelelezi tu pindi litakapofikishwa kutoka kwa Jeshi la Polisi kabla ya kupelekwa Mahak**ani

Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa leo Agosti 19.2024 na Gazeti la.Mwananchi imeeleza kuwa katika kufuatilia sakata hilo waandishi wake wamemtafuta pia Mkurugenzi wa Upelelezi wa makosa ya jinai Tanzania (DCI) Kamishna wa Polisi (CP) Ramadhan Kingai ambaye alitoa maelekezo kuwa ili kupata majibu ya suala hilo watafutwe K**anda wa Polisi

HII TIMU INAHITAJI MAOMBI YA NABII SUGUYE
18/08/2024

HII TIMU INAHITAJI MAOMBI YA NABII SUGUYE

BEKI BORA WA MSIMU HUU AMEANZA NA TUZO HII LEO.
18/08/2024

BEKI BORA WA MSIMU HUU AMEANZA NA TUZO HII LEO.

AHMED ALLY ANASEMA HAWSHUKI HAPO JUU MPAKA MWAKANI MWEZI WA SITA
18/08/2024

AHMED ALLY ANASEMA HAWSHUKI HAPO JUU MPAKA MWAKANI MWEZI WA SITA

27/06/2024

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Malendeja Makashi, Rachel Bigabilo, Salim Iddi

Address

Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ZINZA TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to ZINZA TV:

Share