Soka Darasa

Soka Darasa Pata Uchambuzi, Elimu Na Ufafanuzi Wa Maatukio Ya Soka Na Habari Za Michezo Alikiba Blood Fans

Hii Kesi imeishakuwa ngumu ....... Tukae pembeni tumsubiri Mshindi tuuYanga Vs TFF wewe upo upande gani?
10/06/2025

Hii Kesi imeishakuwa ngumu ....... Tukae pembeni tumsubiri Mshindi tuu

Yanga Vs TFF wewe upo upande gani?

TAARIFA KWA UMMA kutoka crdbank wadhamini wa Kombe la Shirikisho Tanzania Wao k**a wao hawana Deni fedha zote walizilipa...
10/06/2025

TAARIFA KWA UMMA kutoka crdbank wadhamini wa Kombe la Shirikisho Tanzania

Wao k**a wao hawana Deni fedha zote walizilipa Mwaka Jana na waliopokea fedha ni TFF

Kwa TAARIFA hii kutoka kwa wadhamini ni kwamba pesa za mshindi wa Kombe la FA mwaka Jana zipo kwa TFF,

Kwanini TFF wamekaa na hizo fedha, zipo wapi majibu yapo TFF chini ya Rais Karia

Omba Nyimbo kwa DJ kusindikiza TAARIFA hii kutoka kwa wadhamini

TAARIFA KWA UMMA kutoka Simba Sports club Ngoja niwape code kwa TAARIFA hii kutoka Simba inaonesha kabisa Simba imeamua ...
10/06/2025

TAARIFA KWA UMMA kutoka Simba Sports club

Ngoja niwape code kwa TAARIFA hii kutoka Simba inaonesha kabisa Simba imeamua kumpa support Yanga kwa msimamo

Simba kusema au kuitaka Bodi ya Ligi kutoa Report ya Mechi number 184 ni k**a kuipa nguvu hoja ya Yanga
Simba inajua kabisa ni ugumu kiasi gani kwa hiyo report kutoka kwa kuwa hakuna kiongozi hata mmoja wa Bodi ya Ligi Atakayesubutu kutoa hiyo report na hivyo hivyo hakuna kiongozi atakayeweza kumpoka point yeyote Yanga

Hili swala linaweza kuisha kwa namna moja tuu. Kwa viongozi wa juu ya Bodi ya Ligi kujiuzulu
Maana ikiwa viongozi wamejiuzulu hakuna Team hata MOJA watahitaji hiyo report.

ANGUKO LA SOKA TANZANIA
Anguko la mpira Tanzania litatokea endapo viongozi wa Bodi waking'ang'ania Kukaa kwenye nafasi zao

HOFU YANGU
ni kwamba hili swala lisitupeleke mpaka FIFA ikatufungia kwenye kushiriki Soka kabisa

RAI YANGU
Viongozi wetu wapira ambao wanaonekana kuwa wao ndio chanzo cha hii stofahamu watumie busara kutuachia mpira wetu kwa maana maendeleo na Anguko la Soka letu lipo mikononi mwao

Simba SC Tanzania
09/06/2025

Simba SC Tanzania

Yanga imegoma kushusha mapanga chini Bodi ya Ligi Haina budi kuchutama hakuna namna wameshikwa pabaya
09/06/2025

Yanga imegoma kushusha mapanga chini Bodi ya Ligi Haina budi kuchutama hakuna namna wameshikwa pabaya

Huyu kiumbe ifikie mahala wanaomvunjia heshima waanze kumpa heshima anayostahiki   tumempa vyeo vyake mapema Sana Goat ๐Ÿ
09/06/2025

Huyu kiumbe ifikie mahala wanaomvunjia heshima waanze kumpa heshima anayostahiki tumempa vyeo vyake mapema Sana Goat ๐Ÿ

Kazi nzuri mpaka Sasa hakuna upendeleo kwa upande wowote ,,,, Ahmed Arajiga anaonesha kwanini yeye ni mwamuzi bora Tanza...
31/05/2025

Kazi nzuri mpaka Sasa hakuna upendeleo kwa upande wowote ,,,, Ahmed Arajiga anaonesha kwanini yeye ni mwamuzi bora Tanzania kwa sasa....k**a wangekuwa wale tulio wazoea tungekuwa tunasubiri red card na penat

Linakufa jitu huko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚SSB 2-0SIMBA SC Dk 40
31/05/2025

Linakufa jitu huko ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
SSB 2-0SIMBA SC
Dk 40

Simba XI ๐Ÿ†š Singida Black Stars26. Camara ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ3. Duchu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ29. Nouma ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ 14. Hamza ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ20. Che Malone ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ21. Kagoma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ6. Ngoma ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ...
31/05/2025

Simba XI ๐Ÿ†š Singida Black Stars

26. Camara ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ณ
3. Duchu ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
29. Nouma ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
14. Hamza ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
20. Che Malone ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ
21. Kagoma ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6. Ngoma ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ
11. Mukwala ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
7. Mutale ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ
10. Ahoua ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ
38. Kibu Denis ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Wydad ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ†š Fc Porto ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡นโฐ Saa 1:00 Usiku
31/05/2025

Wydad ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆ ๐Ÿ†š Fc Porto ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น

โฐ Saa 1:00 Usiku

Mboga moto ugari moto Tupe utabiri wako kuelekea fainal ya mkondo wa pili huko kwa mwarabu ambapo mkondo wa kwanza wlito...
31/05/2025

Mboga moto ugari moto
Tupe utabiri wako kuelekea fainal ya mkondo wa pili huko kwa mwarabu ambapo mkondo wa kwanza wlitoka suruhu ya boa moja kwa moja

Drop comment yako nani atabeba ndoo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

Address

Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Soka Darasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Soka Darasa:

Share