Kasi Online Tv

Kasi Online Tv Habari kutoka katika kila kona ya dunia dealing with day to day information that happen on the world

Tunawaombea Familia Mungu awatangulieeeee
19/04/2026

Tunawaombea Familia Mungu awatangulieeeee

07/04/2026

RefreshingπŸ€—πŸ€—

Mungu hukupa kipawa na maarifa kazi yako ni kuyatafsiri na kuwa njia sahihi ya kujitafutia riziki yako ya kila siku.
02/04/2026

Mungu hukupa kipawa na maarifa kazi yako ni kuyatafsiri na kuwa njia sahihi ya kujitafutia riziki yako ya kila siku.

Daima yatupasa kuwa wa karimu kwa ndugu zetu.....Hujafa hujaumbika
26/03/2026

Daima yatupasa kuwa wa karimu kwa ndugu zetu.....Hujafa hujaumbika

Leo Machi 24 nafanya kumbukizi yangu ya kuzaliwa.Ninapofanya kumbukizi yangu ya kuzaliwa kwanza namshukuru Mungu na Kuwa...
24/03/2026

Leo Machi 24 nafanya kumbukizi yangu ya kuzaliwa.

Ninapofanya kumbukizi yangu ya kuzaliwa kwanza namshukuru Mungu na Kuwashukuru Wazazi wangu Baba (Mungu ailaze Roho yake mahali pema peponi) na Mama ( Mungu ampe maisha Marefu).

Haikuwa Rahisi kwao hadi kunifanya niwe hapa leo ni Malezi yao yaliyoongozwa na Hekima ya Kimungu. Nawashukuru wanajumuiya wote ambao tunaishi Pamoja na kufanya kazi Pamoja katika namna tofauti tofauti. Mungu awabariki sana.
Happy Birthday to meπŸ₯˜πŸŽ‚πŸ©

Kazi, Tabasamu na Ndoto ya mafanikio
22/03/2026

Kazi, Tabasamu na Ndoto ya mafanikio

Hakuna lililo jepesi katika Maisha yetu, Kila mafanikio yanahitaji Nguvu, Jitihada na Maarifa
16/03/2026

Hakuna lililo jepesi katika Maisha yetu, Kila mafanikio yanahitaji Nguvu, Jitihada na Maarifa

Ukiaminiwa aminikaa na tenda kwa Uaminifu.πŸ“Έby
14/03/2026

Ukiaminiwa aminikaa na tenda kwa Uaminifu.
πŸ“Έby

Tukutane kazini
11/03/2026

Tukutane kazini

22/01/2026
πŸ’”πŸ’”πŸ’”
02/12/2025

πŸ’”πŸ’”πŸ’”

Address

Kayanga
Karagwe

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kasi Online Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kasi Online Tv:

Share