Plucker sports news

Plucker sports news Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Plucker sports news, Media/News Company, Msimbazi, Kariakoo.

Mchambuzi was michezo nchini ndugu Oscar oscar
30/04/2022

Mchambuzi was michezo nchini ndugu Oscar oscar

Raia wa  Zambia na mchezaji wa club ya zanaco nchini humo Amefanya mahojiano na jarida la plucker sports newsNa kuliambi...
15/04/2022

Raia wa Zambia na mchezaji wa club ya zanaco nchini humo
Amefanya mahojiano na jarida la plucker sports news
Na kuliambia kuwa bado hajapokea offer yeyote kutoka nchini Tanzania k**a inavyoelzwa
Akiongezea kuwa yeye nchini Tanzania anaipenda timu ya simba sports club kutokana na uwepo wa mastaa kutoka Zambia waliopo kwenye club hiyo chama na rally bwalya
Lakini taarifa kutoka katika vyanzo vya habari nchini Zambia zinasema nyota Hugo amesiani kandarasi ya awali na simba sports club
Je atatua nchini humo?

Address

Msimbazi
Kariakoo

Telephone

+255689892683

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Plucker sports news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share