Ubuyu midia habar za ulimwengu

Ubuyu midia habar za ulimwengu Yanga fans

Mwaaananchhhhiii
09/11/2025

Mwaaananchhhhiii

MPIGIE MZIZE KURA YA BAO BORA LA MWAKA HUKO CAF𝙇𝙄𝙉𝙆  𝙃𝙄𝙄 π™ƒπ˜Όπ™‹π˜Ό   π™ˆπ™„π™ˆπ™„ π™π˜Όπ™”π˜Όπ™π™„  π™‰π™„π™ˆπ™€π™Žπ™ƒπ˜Όπ™ˆπ™‹π™„π™‚π™„π˜Ό  π™ˆπ™•π™„π™•π™€  π™†π™π™π˜Ό βœ…πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡https:...
08/11/2025

MPIGIE MZIZE KURA YA BAO BORA LA MWAKA HUKO CAF

𝙇𝙄𝙉𝙆 𝙃𝙄𝙄 π™ƒπ˜Όπ™‹π˜Ό π™ˆπ™„π™ˆπ™„ π™π˜Όπ™”π˜Όπ™π™„ π™‰π™„π™ˆπ™€π™Žπ™ƒπ˜Όπ™ˆπ™‹π™„π™‚π™„π˜Ό π™ˆπ™•π™„π™•π™€ π™†π™π™π˜Ό βœ…
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

https://cafawardsgoty.com

πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Wananchi twendeni tukampigie KURA Mzize

Lazima ashinde tuzo kwaumoja wetu Wana yanga πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’šπŸ’šπŸ’š

Pamechanga mka
28/10/2025

Pamechanga mka

Macho yote Leo Kwa dube
28/10/2025

Macho yote Leo Kwa dube

Wanachama na Mashabiki bora AfricaπŸ”°πŸ™ŒπŸ½
26/10/2025

Wanachama na Mashabiki bora AfricaπŸ”°πŸ™ŒπŸ½


Jamani tunaulizaa πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ“’πŸ“’
25/10/2025

Jamani tunaulizaa πŸ”ŠπŸ”ŠπŸ“’πŸ“’

KAZI IPO huku πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
25/10/2025

KAZI IPO huku πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

25/10/2025

Gooooooal yanga

Uongozi wa Young Africans SC asubuhi ya leo, iliwaalika katika Makao Yake Makuu, Jangwani, Dar Es Salaam,  Watoto Yatima...
25/10/2025

Uongozi wa Young Africans SC asubuhi ya leo, iliwaalika katika Makao Yake Makuu, Jangwani, Dar Es Salaam, Watoto Yatima kutoka katika Kituo cha Al Madina Children, kilichopo Tandale Kwa Tumbo, Jijini Dar Es Salaam.

Watoto walipata nafasi ya kutembelea ofisi za Klabu na kupata msaada kutoka Yanga SC wakishirikiana na Taasisi ya GSM Foundation, pamoja na kupewa mwaliko wa kwenda uwanja wa Mkapa, kushuhudia mchezo wa leo jioni, Yanga SC wakicheza na Silver Strikers.


Ishaalia mungu atusaidie kupata pwenti 3 muhimu πŸ™πŸ™πŸ™
25/10/2025

Ishaalia mungu atusaidie kupata pwenti 3 muhimu πŸ™πŸ™πŸ™

Munacheza nakikosi b Yani munajifunga wenyewe🀣🀣🀣
20/09/2025

Munacheza nakikosi b Yani munajifunga wenyewe🀣🀣🀣

Address

Dar Es Salaam
4500

Telephone

+255742496777

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ubuyu midia habar za ulimwengu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share