John Ngollo

John Ngollo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from John Ngollo, Media/News Company, Kariakoo.

kazi yangu mwana habari wako nikuhakikisha kila kukicha nakuletea stor mpya zinazo jili ulimwenguni.DIVINE FM.Instagram ,facebook,tweter@johnngollo2 JOHN NGOLLO AMEZALIWA MARCH 18. 1994 CHANIKA JIJINI DAR ES SALAAM BABA YAKE ANAITWA MR JOSEPH NGOLLO NI MUHEHE WA IRINGA NA MAMA YAKE ANAITWA HADIJA SAIDY NI MZIGUWA KOROGWE JIJINI TANGA KWA BAHATI MBAYA JOHN AJAFAIDI MALEZI YA MAMA YAKE M

ZAZI BAADA YA KUZALIWA ALICHUKULIWA NA BABA YAKE NA KUPELEKWA IRINGA NA KULELEWA NA SHANGAZI YAKE . NA ALIPOFIKISHA UMRI WA MIAKA MIWILI ALICHUKULIWA NA KULELEWA NA MKE MKUBWA WA BABA YAKE ALIYJULIKANA KWA JINA LA MAGRETH KWA KUWA MAMA MZAZI WA JOHN ALIKUWA NI MKE MDOGO WA MZEE NGOLLO MZAZI HUYO ALIMLEA JOHN K**A MWANAE HADI ALIPOFIKASHA MIAKA MITATU 3 NDIPO MAMAYAKE ALIPOKUJA KUANZA KUISHI NA MWANAE HUYO KUTOKA DAR ES SALAAM
WAKATI HUO MRNGOLLO ALIKUWA AMEHAMISHIWA KIKAZI WILAYANI IGUNGA MKOANI TABORA WALIISHI PAMOJA LAKINI SIKU MOJA ILITOKEA SINTOFAHAMU JOHN ANASEMA ALIKUWA MDOGO HAKUJUA CHANZO NINI BABA NA MAMA YAKE WAKAGOMBANA SIKU HIYO NA KUPELEKEA KUACHANA.WAKATI HUO JOHN AKIWA NA MIAKA MINNE JOHN ALILAZIMIKA KURUDISHWA KULELEWA NA MAMAMLEZI AMBAE NDIE MKE MKUBWA WA BABA YAKE JOHN ANASEMA HAKUWAHI KUJUTA WALA KUWA NA HUZUNI SIKUZOTE ALIKUWA NI MTU MWENYE FURAHA KWA KUWA MAMA HUYO ALIMPENDA NA KUMLEA K**A MWANAE WA KUMZAA.MWAKA 2001 JOHN ALIANZISHWA CHEKECHEA KATIKA SHULE YA MSINGI MWANZUGI NA MWAKA 2002 ALIANZA RASIMI DARASA LA KWANZA ALIPOINGIA DARASA LA PILI 2003 ILIKUJA TAARIFA KUWA MAMA YAKE MZAZI AMEFARIKI DUNIA KWA KUWA JOHN ALIKUWA BADO MDOGO HAKUSTUKA SANA ALIENDELEA NA MASOMO
MWAKA 2007 YULE MAMA ALIYEKUWA AKIMLEA JOHN NAE ALIFARIKI DUNIA YAANI MKE MKUBWA WA BABA YAKE JOHN WAKATI HUO JOHN AKIWA DARASA LA 6 NA KWA KUWA WATOTO WALIKUWA WAMEZOEA KUISHI NA MAMA YAO MUDA WOTE KIPINDI HICHO BABA YAO NA AKINAJOHN ALIKUWA AMEHAMISHIWA KIAZI MJINI TABORA HIVYO WALILAZIMIKA KUISHI NA DADA YAO MKUBWA AITWAE GRACE NGOLLO . MWAKA 2008 JOHN ALIMALIZA DARASA LA SABA NA MWAKA 2009 LICHAGULIWA KUENDELEA NA MASOMO YA SECONDARY IKUMBUKWE KUWA KATIKA FAMILIA YA WATOTO WA MR NGOLLO JOHN NDIE MTOTO PEKEE ALIYEKUWA WA KWANZA KUFAULU KWENDA SECONDARY
MWAKA 2012 ALIMALIZA KIDATO CHA NNE LAKINI MATOKEO HAYAKUWA MAZURI KWA UPANDE WAKE KWAKUWA ALIKUWA ANAPENDA KAZI YA UTANGAZAJI RADION ILIMLAZIMU JOHN KUWAFATILIA BAADHI YA WATANGAZAJI WAKUBWA K**A DIJARO ARUNGU NA DAN CHIBO WOTE WA TBC FM JOHN ALITOKEA KUWAPENDA SANA WATANGAZAJI HAWA ANASEMA SIKUZOTE ALIKWA ANATEMBEA HUKU ANAENDESHA KIPINDI KIMOYOMOYO HATA AKIWA NA TOROLI WAKATI ANAFATA MAJI YEYE ANAFANYA KIPINDI AKIONGEA PEKEYAKE. MWAKA 2013 JOHN ALISAFIRI KUTOKA IGUNGA HADI TABORA MJINI ANAKOFANYIAKAZI BABA YAKE ALISTUKA ALIPOSIKIA KUWA TABORA KUNARADIO JOHN ALIKUWA NIMSHAMBA ANASEMA ALIJUA RADIO NI MITAMBO MIKUBWA HADI WATU WANAO ISHI KARIBU HAWAFUNGUI RADIO WANASIKIZA HAPOHAPO KUMBE SIVYO. JOHN AKIWA TABORA SIKUMOJA ALITEMBELEA RADIO ZOTE MBILI YA V.O.T FM NA CG FM NA ALIPOONYESHWA HATA BAADHI YA WATANGAZAJI AU LIPOKUWA AKIWASIKIA JOHN ALIWATAMANI SANA.KUNA BAADHI YAO JOHN ALIWAFATA KUWAOMBA WAMPE UJUZI JOHN ANASEAMA WALIKATAA KWA KUMPA MANENO YA KUMKATISHA TAMAA LAKINI ALIZIDI KUJIPA MOYO. KWA KIPINDI CHOTE HICHO JOHN ALIKUWA HAJAMWAMBIA BABA YAKE KUWA ANAIPENDA FANI HIYO NDIPO SIKUMOJA ILIBIDI AMWAMBIE BABA YAKE AKAMUULIZA GHARAMA ZA IYO FANI NI SHILINGI NGAPI KWA KUWA JOHN ALIKUWA AMEFATILIA ALIMWAMBIA NI800000(LAKI 8)KWA MWAKA JOHN ALISIKITIKA ALIPOSIKIA BABA YAKE ANASEMA HANA HELA. JOHN ANASEMA ALITUMIA JITIHADA ZAKE ZOTE LAKINI ILISHINDIKANA HATIMAE MWAKA UKAISHA LAKINI JOHN ANASEMA KUWA SIKUZOTE PENYE NIA PANJIA HAKUKATA TAMAA MWAKA2014 BABA YAKE ALIKUBALI KUMSOMESHA KWA KIPINDI HICHO BABA YAKE ALIKUWA NDIO AMESTAAFU KAZINI MWAKA HUO.JOHN ANASEMA ALIAMBIWA NA BABA YAKE KUWA KWA KUWA AMEKUBALI KUMLIPIA ADA BASI NA YEYE AISIMAMIE BUSTANI YA NYANYA YA BABA YAKE ILIYOKUWA KARIBU NA OFISINI KWA BABA YAKE. JOHN ANASEMA ALISOMA KWA JUHUDI KWA KUWA FANI HIYO ALIIPENDA SANA HADI AKAWA TEGEMEZI KWA WENZAKE KWA MAMBO YA KUTANGAZA,KITU KIKUBWA KILICHOMPELEKA JOHN CHUONI NI UHANDISHI WA HABARI LAKINI UKIJA KWENYE MASUALA YA MIC JOHN ALIKUWA NI MTAALAMU KWANI ALIKUWA NDIO MTANGAZAJI WA MECHI ZA CHUONI. JOHN ANASEMA KWNYE FANI HII KUNA CHANGAMOTO NYINGI HIVYO ANAWASIHII WALE WANAOIPENDA FANI HII WASIWE WEPESI WAKUKATA TAMAA MAPEMA NA KUTOFIKA MALENGO YAO
ANASEMA YEYE ALIPITIA TAABU NA MAGUMU NA HATA KUDHARAULIWA NA BAADHI YA WATU KUTOKANA NA MUONEKANO WAKE NA FAMILIA ANAYOTOKA LAKINI HAKUKATA TAMAA HADI LEO BADO ANAENDELEA NA WALA HAFIKILII KURUDI NYUMA HADI UNAVYOSOMA HISTORIA HII JOHN NIMTANGAZAJI WA KITUO CHA RADIO DIVINE FM KAHAMA KATIKA KIPINDI CHA GOSPAL HITS NYIMBO ZA DINI KUANZIA SAA8 MCHANA HADI SAA10 JIONI NA PIA NI MTANGAZAJI WA KIPINDI CHA MICHEZO SAA 1.30 USIKU HADI SAA 2.30 USIKU.

  If you recognize the purpose that GOD has placed within you, you will ensure that you live out His purpose so that He ...
23/02/2026

If you recognize the purpose that GOD has placed within you, you will ensure that you live out His purpose so that He may take His glory.

❤️❤️❤️❤️ .

JohnNgollo.
17/02/2026

JohnNgollo.

15/02/2026
12/02/2026

Home sweet home my samaki samaki k**a pweza ngisi na Tasi ndio kitoweo chetu vijana tuliozaliwa pwani ila tukakulia na kuishi huko Bara 😁😁 kwa kitambo

Huu ni msuko uaitwaje jamani
10/02/2026

Huu ni msuko uaitwaje jamani

Hakuna mali ambayo Ball Dancer aliishika halafu hawajaja watu saba kumkaba k**a hapo pichani, Wanetu hawataki kabisa kui...
24/01/2026

Hakuna mali ambayo Ball Dancer aliishika halafu hawajaja watu saba kumkaba k**a hapo pichani, Wanetu hawataki kabisa kuiita Al Ahly wanasema tu hilo chama lenye MATERIAL ZA ULAYA ndio Wanetu hao😀

Walimu wetu academy walikuwa wanasema “Usicheze huku unaangalia chini” lakini sio kwa EMAM MURTAZA MANGUNGU ASHOUR, yeye anacheza anavyotaka na mpira unatii anavyotaka, Big hapo ndichi amekubali anamsoma kwa mbali😀

22/01/2026

Ospreys never give up. Ever. They, liked many others creatures on this wonderful planet continue their lives no matter how many insurmountable obstacles are thrown in their path. They don’t complain. They shake it off and try again and again and again until they succeed. That’s such a powerful lesson to learn.

10/01/2026

Potelea Mbali Leo Acha tu Wakujue Mke wangu ingawa wewe sio Mtu wanitandaoni na Unajua fika huku Mtandaoni Mumeo ndio Ajira yangu nilioichagua na ninayoiamini ila kwa leo tu wacha nikupost humu maana umetoka mbali na Mimi Mke wangu hatak**a sio kitambo sana point kuu hasa ulipo simama na Mimi katika ile changamoto na Mazito niliopitia kwa Mwaka mzima ila hakuniacha Ulilia sana ila hakutaka kuondoka kurudi kwenu uliamini yatapita kila siku ulikuwa ukiniombea kwa MUNGU Ulisimama Bega kwa Bega na ndugu wakati wote Tangu Mwanzo hadi Mwisho.

Na Leo Umeniongezea Familia kwa kunizalia Mtoto mzuuuri maana Mwenzio nimeishi miaka 6 nikiwa na Mtoto wangu mmoja tu anaeitwa Mtoto huyu Nilizaaga na Mschana Mwingine kabisa Mtoto huyu ulimkuta nyumbani ukaishi nae k**a mwanao wakumzaa na Bado unaishi nae hatimae 2026 MUNGU Kabariki katuongezea Familia sasa tuna Watoto wawili ndani ya nyumbani yetu MUNGU ni Mwema sana

Baada ya Mapito Magumu acha leo MUNGU Achitwalie UTUKUFU.

NAKUPENDA SANA DORIS.

06/01/2026

Pumzika Salama Mama yangu kipenzi Bi Khadija Mwendo umeumaliza kila nafsi itaonja MAUTI Kifo chako kimekuwa chakusikitisha😭😭 Ila ndio Binadamu walivyo huruma ilishapotea ndani yao wanajiona wao ndio Kila kitu na Wengine wanaona wanini kana kwamba wenzao sio Watu. Ni kukosekana kwa fedha na Umbali wa Hospital umechangia kuondoa UHAI wako Mama yangu .

Nina mengi nimeyabeba moyoni ila sina wakumuelezea Wanao tunakuombea kwa MUNGU akupe pumziko la milele akuondolee Adhabu ya KABURI

Mama 😭😭
Bi Khadija 🙏🙏

Address

Kariakoo

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when John Ngollo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to John Ngollo:

Share