Akhlaq Tv

Akhlaq Tv Huu ni ukurasa unaohusiana na utoaji wa Habari pamoja na Elimu za mambo mbalimbali yahusuyo jamii na Dunia kwa ujumla wake. Akhlaq Tv
Haiba ya Muislamu.

11/04/2026

USALITI

 HABARI PICHA Picha mbalimbali zikiwaonesha viongozi na wananchi mbalimbali wakikagua eneo lilioathirika na moto katika ...
06/04/2026



HABARI PICHA Picha mbalimbali zikiwaonesha viongozi na wananchi mbalimbali wakikagua eneo lilioathirika na moto katika soko la simu 2000 mawasiliano kabla ya waziri mkuu Mhe. Mwigulu Nchemba kufika katika eneo Hilo Tayari Mhe. Nchemba ameagiza eneo Hilo kusafishwa haraka ili wafanyabiashara waanze hatua ndogo za kurejesha biashara zao kabla ya kuchukua hatua madhubuti ya kurejesha miundombinu ya soko hilo.

04/04/2026



Usiku wa 33 hakuna Mwananchi wa Iran 🇮🇷 anayelala nyumbani wote wanajazana kwenye square wakishangilia Wanajeshi wao wakiwa wanapambana haswa angani, usiku wa kuamkia leo ametupa video ya Bibi kabisa na fimbo yake kaingia kwenye Maandaamano anasema kaja kwasababu hataki kuacha Uwanja wa vita mtupu bila uwepo wake, ana nguvu ya ngumi yake kupambana na Maadui ndio kitu anacho😀 Hapo kuna Mstari anasema “Nimekuja kumlinda Kiongozi wangu” maana yao kubwa ni Ayatollah imaan yao huwa si wao bali Kiongozi wao ndio misingi ya Taifa lao, wanajua wakiungana hivi haijawahi kuwa rahisi kwa Adui. 🎥

24/03/2026


“Binafsi nawaamini zaidi Iran kuliko Rais Donald Trump ni Mtu ambaye anaweza kupindisha ukweli hata k**a atapigwa vibao mara mbili usoni, uhalisia ni kuwa kwasasa anahangaika kutafuta namna anatokaje kwenye vita hivyo atatunga uongo kuwa kuna mazungumzo na Iran kuwa wanatuma ujumbe wanataka maridhiano kitu ambacho hakuna ukweli ni Mtu muongo, nafahamu kuwa wanaongea na Watu wa pembeni haswa Uturuki na Misri wakisaka suluhu ila hakuna Mtu ndani ya Serikali ya Iran wanazungumza nae, anaongea na Watu wa mbali sana na Iran” - John Brennan, Mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Kijasusi la Marekani. 🎥 MS NOW

24/03/2026

NUKUU ZA WAZIRI MKUU

24/03/2026


IRAN 🇮🇷 Wananchi wamegoma mambo ya kuweka silaha chini, wameendelea maandamano mitaani na kuwaambia Jeshi lao hakuna kupumzika mpaka ushindi upatikane, wanasema wao ni Taifa la Imaam Hussein. 🎥 TASNIM

19/03/2026



“Kwa Jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehma, Mimi ni Mwanajeshi wa Taifa la Kiislam la Iran nabofya kitufe hiki cha Kombora kwa ajili ya haki kwa Wahanga wote wa Mafaili ya Epistein na sasa naenda kupiga ardhi ya Mkuu wao, Mwenyezi Mungu ndie Mjuzi zaidi lifike salama kwa kudra zako”
- Mwanajeshi wa Iran 🇮🇷 jioni hii kabla ya kubofya kitufe cha kombora kutokea Ardhini kuelekea target akipiga dua kwanza.

 IRAN 🇮🇷 usiku wa kuamkia leo imepiga nchi 9 kwa pamoja na zote zilianza muda wa kufanana baada ya Magharibi wakidaiwa w...
19/03/2026


IRAN 🇮🇷 usiku wa kuamkia leo imepiga nchi 9 kwa pamoja na zote zilianza muda wa kufanana baada ya Magharibi wakidaiwa wanatumia silaha za teknolojia ya juu sana. Iran wamepiga Qatar, Israel, UAE, Jordan, Kuwait, Iraq, Oman, Saudi Arabia na Bahrain. Taarifa zinadai pia kuwa maagizo ya Kiongozi Mkuu licha ya kwamba hawana rasilimali za kutosha wanapaswa kuilinda Palestina, wanapaswa kuhakikisha wanawakumbuka kwa kidogo hicho k**a ilivyokuwa utaratibu wa Baba yake.

Address

Kariakoo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Akhlaq Tv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Akhlaq Tv:

Share

Category