Kabata+

Kabata+ Media Group

16/09/2025
With Bongotzfm – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰
14/03/2025

With Bongotzfm – I just got recognized as one of their top fans! πŸŽ‰

🚨🚨
05/10/2024

🚨🚨

Gundua historia ya kushangaza kuhusu sababu iliyosababisha mashirika ya ndege kuhamasisha abiria kupanda kupitia upande wa kushoto badala ya upande wa kulia....

πŸ”₯πŸ”₯KUVUTWA KWENYE MAAMUZI YA MASOMO: KUWEKA MIPAKA KWA UKUAJI BORA WA VIJANA WETUJe, wazazi wanapaswa kuingilia maamuzi y...
05/05/2024

πŸ”₯πŸ”₯KUVUTWA KWENYE MAAMUZI YA MASOMO: KUWEKA MIPAKA KWA UKUAJI BORA WA VIJANA WETU

Je, wazazi wanapaswa kuingilia maamuzi ya vijana kuhusu masomo yao ya CHUO KIKUU? Uchaguzi wa fani ni safari ya kujitambua na kujenga mustakabali wa maisha. Katika makala hii ya leo, tutaangazia jinsi kuingiliwa katika maamuzi ya kuchagua fani ya kusomea kunavyoweza kusababisha mgogoro na msongo wa mawazo kwa na kushauri njia bora za kuwasaidia vijana wetu kufanya maamuzi sahihi kuhusu elimu yao ya baadaye. Jiunge nasi kwa mjadala wa kusisimua! kwenye video hii hapa https://youtu.be/tKGm-0YDLoc?si=4BrgefO5OksdMH4e

Ukiacha kolabo yao ni kitu gani kingine wakifanya wanaweza kuendana? Weka comment yako
15/03/2024

Ukiacha kolabo yao ni kitu gani kingine wakifanya wanaweza kuendana? Weka comment yako

Ili taifa la Tanzania kiweke historia ya kufuzu nusu fainali kwa ngazi ya vilabu kwa msimu huu. Ni sharti hayo majina ya...
13/03/2024

Ili taifa la Tanzania kiweke historia ya kufuzu nusu fainali kwa ngazi ya vilabu kwa msimu huu. Ni sharti hayo majina yafutwe kwenye Semifinal Odds 😭😭. We chama lako limepewa kumngo'a nani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Happy International Women's Day to you all cute and lovely women.
08/03/2024

Happy International Women's Day to you all cute and lovely women.

Kila la Kheri chama languπŸ₯° ushindi ndiyo dua yetu, tuko nyuma yako katika hari zote. Enjoy soka, hakuna kisichowezekana....
17/01/2024

Kila la Kheri chama languπŸ₯° ushindi ndiyo dua yetu, tuko nyuma yako katika hari zote. Enjoy soka, hakuna kisichowezekana. Hata k**a haiwezekani leo, kesho itawezekana. Angola ameshiriki zaidi yetu lakini hakua hata na point moja. Kaishaipata kwa kusawazishia mbambe Algeria. Jana Namibia kupitia kwa Hotto wamemkalisha chuma moja ya Kerubu Tunisia. Majina yasikutishe kabisaaaa. Pambano boys tuko pamoja

HARA MADRIDKile ninachokisema hiki hapa mtu kapigwa 4 kwa 1 metch ya finali lakini bado Barcelona haiachi kuwa club BORA
15/01/2024

HARA MADRID

Kile ninachokisema hiki hapa mtu kapigwa 4 kwa 1 metch ya finali lakini bado Barcelona haiachi kuwa club BORA

HAIKUA VIBAYA KUJIANDAA Lakini maandalizi yakiambatana na majigambo na mdomo mwingi k**a vile mtu anaijua baadae bila BA...
14/01/2024

HAIKUA VIBAYA KUJIANDAA

Lakini maandalizi yakiambatana na majigambo na mdomo mwingi k**a vile mtu anaijua baadae bila BAADAE SIYO YA MTU ni ya MAJALIWA inaumiza na ni kiti kinachoweza kulididimiza soka letu. Wasemaji k**a hawa ni mwimba kwenye maendeleo ya mpira wetu.

Wasemaji wapokonywe mamlaka zao, au wabadilishiwe utaratibu wa kazi. Maana imekua k**a vile usemaji ni kupiga maneno k**a siasa vile. Sijui hata nisemeje. Hivi waandishi wazoefu k**a kina ,

n.k hawawezi kutumia uzoefu wao kuwafunda hawa wasemaji ili wawe professional na siyo kuwaamshia hisia washabiki kwa jambo lisilokuwa la uhakika?

Natamani nguli hawa kwenye medani za michezo watoke waseme huko tunakojifunza mambo mengi, ULAYA na ASIA mambo yako hivi ktk kuendesha mpira?

HONGERA MSUMBIJI, SARE YENU NI FUNZO KWETU NA TAIFA STARS....Kwa ilivyozoeleka, si kawaida kuiona timu ya Misri inasuluh...
14/01/2024

HONGERA MSUMBIJI, SARE YENU NI FUNZO KWETU NA TAIFA STARS....

Kwa ilivyozoeleka, si kawaida kuiona timu ya Misri inasuluhu na timu k**a ya Msumbiji. Tena wakiwa wametangulia wao, wakasawazishiwa, wakaongezwa ndiyo dakika za mwishoooni wanajitetea tena kwa Goli la PENATI ya VAR.πŸ˜‚πŸ˜‚

Hiki ndiyo ninachotamani watu waelewe kuwa mambo yanabadilika. Hata uliyemtangulia kuzaliwa anakua anafikia kuwa mtu mzima mwenye nguvu na uwezo saa nyingine kuliko hata wale waliomtangulia.

Tusishangae siku tukaikosa Misri kwenye mashindano na BINGWA akawa mwingine. K**a mashindano yanahusisha timu zilizofuzu ujue ipo siku walioaminika ni wababe wa soka watapungua na wataibuka wengine na pengine baadae itakua ni k**a kuimba, kupokezekana.

Historia ya soka itabadilika kuliko kawaida....

Hili liwe funzo kwa timu yetu ya taifa. Matokeo haya yawe chachu kwa Taifa Stars inapoenda kumenyana na Morocco, iiendee k**a timu kubwa ndiyo lakini siyo k**a timu yenye haki pekee ya kushinda. Taifa Stars ijipange kushindana kufa kupona.

Address

Keko
Keko

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kabata+ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kabata+:

Share