07/10/2025
BOMA ZURI SANA LINAUZWA KIBAHA KWA MFIPA
==========
〽️ LINA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
🔶🔷VYUMBA VYOTE VIWILI NI MASTER
〽️ SEBULE
==========
🔶 LIPO UMBALI WA 1.5KM KUTOKA STAND.
🔷 BOMA ZURI SANA UNAPAUA NA KUHAMIA
🔶 MAJI NA UMEME VIPO KARIBU
🔷 BOMA LIPO MTAA UNAOKUA KWA KASI
🔶 BOMA LIPO KWENYE BARABARA YA MTAA
==========
💰 BEI YAKE TSH 12M TU.
==========
✍️ KIWANJA CHAKE KINA 15*25
KUNA NAFASI KUBWA SANA IMEBAKI
==========
✍️ SERVICE CHARGE TSH 10K TU
==========
CALL/WHATSAPP:
----------------------
#0714972994
#0752837303