MBAGO PRO

MBAGO PRO Mbago Pro – Tamthilia, Filamu, na Vichekesho vya Kipekee! Jiunge nasi kwa hadithi zinazogusa, kuhamasisha, na kutoa burudani ya kipekee!

Karibu kwenye Mbago Pro, ambapo tunaleta hadithi zenye ubunifu, vichekesho vya kusisimua, na tamthilia za kipevu. MBAGO PRO ni kituo cha mtandaoni (Online Channel) kituo hiki kinajihusisha na urushaji wa video mbalimbali za sherehe na kutoa elimu kuhusu urembo kutoka kwa wataalamu husika, Lengo likiwa ni kupeleka elimu kwa jamii na wadau

16/05/2025
Umetazama interview hii, K**a bado bonyeza hapa kuitazamahttps://youtu.be/D9kOQGr4DwYUsisahau ku-subscribe k**a bado uja...
28/02/2025

Umetazama interview hii, K**a bado bonyeza hapa kuitazama
https://youtu.be/D9kOQGr4DwY
Usisahau ku-subscribe k**a bado ujafanya hivyo, Ku-comment, Ku-share na marafiki na Ku-Like

27/02/2025

Monica amechoshwa na madai ya mchepuko wake! Akimkabili kwa hasira, anakanusha kabisa kuwa mimba hiyo ni yake na kumshutumu kuwa ametumwa na mtu mwenye nia ya kuvuruga maisha yake. Je, kuna ukweli wowote katika madai ya mchepuko? Au kuna mchezo mchafu unaochezwa nyuma ya pazia? Tazama clip hii kali kutoka Haki ya Mapenzi!

27/02/2025

Monica anapokea simu ya mchepuko wake, lakini habari anazopata zinamchanganya kabisa! Mchepuko wake anadai kuwa ana mimba yake, jambo linalotishia kuvuruga kila kitu. Je, Monica atajibu vipi? Ataficha ukweli au ukweli utajidhihirisha? Tazama clip hii ya kusisimua kutoka Haki ya Mapenzi!

26/02/2025

Monica anapokea simu ya mchepuko wake, lakini habari anazopata zinamchanganya kabisa! Mchepuko wake anadai kuwa ana mimba yake, jambo linalotishia kuvuruga kila kitu. Je, Monica atajibu vipi? Ataficha ukweli au ukweli utajidhihirisha? Tazama clip hii ya kusisimua kutoka Haki ya Mapenzi!

26/02/2025

Haki ya Mapenzi inasimulia hadithi ya mapenzi yenye changamoto na mvutano kati ya wawili wanaopigania upendo wao dhidi ya maadui wanaoingilia. Je, ni nani atakayepewa haki ya upendo katika dunia inayoshindwa kuona tofauti za kweli? Jiunge na sisi katika safari hii ya kipekee ya mapenzi, usaliti, na ujasiri. Episode ya kwanza inakuja hivi karibuni!

24/02/2025

Safari ya sanaa si rahisi! 🎭🎬 Kini anafunguka kuhusu safari yake ya kisaniiβ€”mwanzo wake, mapambano aliyopitia, na changamoto zilizomtengeneza kuwa msanii alivyo leo. Je, unajua ni mambo gani magumu wasanii hukutana nayo njiani? Tazama clip hii na ujifunze kutoka kwa uzoefu wake!

πŸ”” Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa zaidi kutoka Mbago Pro!

19/02/2025

Je, ni nini kinachomfanya mwanaume kuondoka nyumbani na kutokurudi tena? πŸ€” Subira anaweka wazi mtazamo wake kuhusu tukio hili linalowakumba baadhi ya wanandoa na wapenzi. Je, unakubaliana naye au una maoni tofauti? Drop your thoughts below! πŸ‘‡

19/02/2025

Subira anafunguka kuhusu wasanii anaowapenda! 🌟 Kwa nje, moyo wake unapenda uigizaji wa Seiran, nyota wa Golden Boy, lakini hapa Tanzania, anampenda Wema Sepetu kwa mvuto na kipaji chake. Je, unakubaliana naye? Tazama clip hii na tupe maoni yako! πŸ‘‡

πŸ”” Usisahau ku-like, ku-comment na ku-subscribe kwa zaidi kutoka Mbago Pro!

#

18/02/2025

Subira anasimulia changamoto alizokutana nazo wakati wa kurekodi tamthilia ya Chanda Chema. Mpenzi wake hakujua kinachoendelea, hivyo ilibidi atoroke ili afanikishe ndoto yake! 🎬πŸ”₯ Je, ungehimili hali k**a hii? Tazama simulizi yake kamili hapa!

Address

Kibaha

Telephone

+255654550022

Website

https://chat.whatsapp.com/J2izwBIvEc3IcRkDD8NdWV, http://www.tiktok.com/@m

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MBAGO PRO posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to MBAGO PRO:

Share

Category